Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muhimu malengo yetu yametimia

1/Wengi tumekuwa marafiki hapahapa pia hadi nje ya JF(wengine hadi wamekuwa wapenzi.....wengine kusaidiana hadi kwenye shida na raha)

2/Tunajifunza mengi humu kupitia post mbalimbali haswa segment hivyo tumeongeza maarifa(wapo pia wanaJf kibao tu wanaitegemea hii thread kupata mawili matatu hadi wazee wanaingia kufuatilia segment maana hawakutani na matusi wala ujingaujinga )

Hayo ndo malengo yetu makuu na tunayatimiza
God bless Makapuku
........
 
Mvua imenyesha leo ushasombwa na mafuriko ya kibarazani
312118de4b64be65e64a3461e513a6bb.jpg

Bhinamu kuna kipindi alikuwa anapiga namba ambazo umesave kwa kireno ...ndo nikamwambia aunt yako kuwa hasipokee ..bhas tu ila vizur imerudushwa kwa jitihada kubwaa

Yaani huyu nilipomwambia nakaa Mtwara basi yeye nanchingwea kuwa karibu na msumbiji basi akajiona mreno kabisa, ana yule kaka yake anajiita figo. haq hahahahahh

Imerudishwa kwa ushawishi mkubwa sana, niliahidi kumnunulia chachandu nyingine
 
Well ni kweli usemacho,

Aamyn Mungu awabariki waliokuja na wqzo hili la kuanzisha hili jukwaa

Sometimes hua nakuaga offline na hua siachi kuzurura hapa

Naipenda segment ya historia

Kuhusu mpenzi hilo hata sina usemi Mungu atusimamie milele
Muhimu malengo yetu yametimia
1/Wengi tumekuwa marafiki hapahapa pia hadi nje ya JF(wengine hadi wamekuwa wapenzi.....wengine kusaidiana hadi kwenye shida na raha)

2/Tunajifunza mengi humu kupitia post mbalimbali haswa segment hivyo tumeongeza maarifa(wapo pia wanaJf kibao tu wanaitegemea hii thread kupata mawili matatu hadi wazee wanaingia kufuatilia segment maana hawakutani na matusi wala ujingaujinga )

Hayo ndo malengo yetu makuu na tunayatimiza
God bless Makapuku
........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom