Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: JNS


Huwa wanasema siku hazilingani, yeah! Yaani ni kama vidole katika kiganja chako. U khali gani siku hii (siku, usisikie tumbo la kujamba nikiandika kuhusu siku, kila mmmoja ana siku yake, ni suala la muda tu). Naimani wikend hii ni njema sana kwako kama ilivyo kwangu.

Makapuku ni kama kokoro, kila siku ninaandika, na kokoro huja na vyote. Litakuletea vya kufurahisha siku yako na kuikarahisha. Yote kwa yote, furaha ya siku yako unaitengeneza mwenyewe, nimeamua kuitengeneza furaha yangu kwa kushare na wewe muziki bila kujali kama nakukwaza au nakwazuka. Ni maisha na tuko hapa kufurahia uwepo wa kila mmoja kwa raha na karaha. Nakufurahia amini hivyo.

Muziki sasa, Peter Andre, naimani unamkumbuka miaka ya 90. Alifanya izuri sana wakati huo muziki wa Dancehal unashika kasi, yaani uko juu na sijui mengi kuhusu yeye ila najua ni mwambaji zaidi ya mpiga vyombo vya muziki.

Burudika na wimbo wake mzuri ambao nimeutoa YouTube nikiamini kabisa utakuwa na wakati mzuri.

JNS- Jumamosi Ni Siku



Asante sana Obe kwa music bora kabisa
 
Yaani huyu nilipomwambia nakaa Mtwara basi yeye nanchingwea kuwa karibu na msumbiji basi akajiona mreno kabisa, ana yule kaka yake anajiita figo. haq hahahahahh

Imerudishwa kwa ushawishi mkubwa sana, niliahidi kumnunulia chachandu nyingine
Daaaah kwa chachanduu apoo umemfikishaaaaa...

Alafu mama ashura simuelewiiii mara etii hujatuma sijui nn
 
Kaandika Bitoz na ninaongezea bila ruhusa (nimeacknowledge though)

Muhimu malengo yetu yametimia (na kutimia kwake hakutufanyi tukalewa sifa, Toyoda alipotengeneza gari aliendeleza ujuzi hadi leo tuna Toyota)

1/Wengi tumekuwa marafiki hapahapa pia hadi nje ya JF(wengine hadi wamekuwa wapenzi.....wengine kusaidiana hadi kwenye shida na raha) --- na bado tunaendelea kuwa karibu

2/Tunajifunza mengi humu kupitia post mbalimbali haswa segment hivyo tumeongeza maarifa(wapo pia wanaJf kibao tu wanaitegemea hii thread kupata mawili matatu hadi wazee wanaingia kufuatilia segment maana hawakutani na matusi wala ujingaujinga ), ujinga ujinga na name calling ni ngumu kuukwepa humu, Makapuku ni bahari Majahazi yapo na boat mwendo kasi zipo

Hayo ndo malengo yetu makuu na tunayatimiza
God bless Makapuku

6623154a7cc7a11e3290f6b1fdaae85b.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom