Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Hili gazeti huwa nalipenda
Hili gazeti huwa nalipenda
Ukiona hivyo jambo linalofanana hilo li karibu kutokeaMungu mkubwa sana aibu ningeona mimi

Morning mkuuMorning wakuu..
Endeleeni kujipa matumainiView attachment 529719MICHEZO BURUDANI NA UDAKU
KaribuBila kutembelea Makapuku Forum kwa siku kadhaa inawezekana.
Good morning Makapuku
Kipanya kanichekeshaa ..jamaa anaenda kushtaki
Morning mkuuHahah
TFF bana mnauzi watu mjue mengine nyamazeni
Mama mchuchuUbarikiwe mkuu Shululu
Morning leeMorning mkuu
Dunga dunga aisee
Asante Lee wa Shunie ubarikiweWakuu kumekucha swalamaaaaaa. ..soon simulizi na UF bila kusahau dondoo za bbc
Ubarikiwe Lee asanteAsantee mama kwa baraka
Simba hii sasa sifa jamaan mjue watakufwa hao jamaa
Huyu wolper nae anachekesha angejinyamazia tu mana ni aibu
Shemela wa mie asante kwa magazetiView attachment 529732Kutoka magazetini sina la ziada tukutane tena kesho Kwa udhamini mnono wa transcend, nawatakieni jumamos njema
Morning JimenaMorning all