Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Na kwako pia toz nyangemaAhsanteni wadau wote mlioniamsha asubuhi kwa mawili matatu
Nafikiri leo wengi tupo free kukinukisha kupelekea Eid
Niwatakie jumamosi njema
.........
Na kwako pia toz nyangemaAhsanteni wadau wote mlioniamsha asubuhi kwa mawili matatu
Nafikiri leo wengi tupo free kukinukisha kupelekea Eid
Niwatakie jumamosi njema
.........
Kishanukaaa leo tutajitahid kusogeza siku make bila hapa na hali yenyewee hii ya ankoo ...Ahsanteni wadau wote mlioniamsha asubuhi kwa mawili matatu
Nafikiri leo wengi tupo free kukinukisha kupelekea Eid
Niwatakie jumamosi njema
.........
Kwani kumbe Bailly ndo shekh mkuu ananinyimajee mwalikoo ??
sio shekhe mkuu si ndio wenye dini yao baba d
Atajijuaaa yeyeeeNaniiii kanunaa
Fresh tuMadenge vipiii
Lakiniii wewe![]()
![]()
![]()
akili zako wewe
Ila wewee![]()
![]()
![]()
![]()
ila mzee wa madawa ya kulevya anavumilia halaf nasikia hatembei nao sijui wanafanyana nini
Kwako pia BitozAhsanteni wadau wote mlioniamsha asubuhi kwa mawili matatu
Nafikiri leo wengi tupo free kukinukisha kupelekea Eid
Niwatakie jumamosi njema
.........
Kumbeee sasa mbona ananipigaa danadana ...![]()
![]()
sio shekhe mkuu si ndio wenye dini yao baba d
Ulikuwa hujui jamaa ni Imamu msikiti wa makapukuKwani kumbe Bailly ndo shekh mkuu ananinyimajee mwalikoo ??
Kama uko poa bhasiiii bariiiidaaaaaFresh tu
Kumbe mbuzi wanapenda maandazi nawaona wanavtogbea
![]()
![]()
![]()
......
Unajua shemela unajuaje kama mtu anakupendaAnajua sana, ila anajisahaulisha tu
Nasikia jamaa siyo riziki ....anachezea tu kama mdoli![]()
![]()
![]()
![]()
ila mzee wa madawa ya kulevya anavumilia halaf nasikia hatembei nao sijui wanafanyana nini
Hahaha shemela shululu popote ulipoAtajijuaaa yeyeee
Asante kwa taarifa makinifuuu...lakini mbona wameimizwa kupenda majirani zao ...tang asubuh nikigusa mwaliko eti niende kwa mama mchungajiiUlikuwa hujui jamaa ni Imamu msikiti wa makapuku
![]()
![]()
![]()
.....
MmhFresh tu
Kumbe mbuzi wanapenda maandazi nawaona wanavtogbea
![]()
![]()
![]()
......
Me nimefanya nini baba dLakiniii wewe
Mkushi za weweKwako pia Bitoz
Akiwa amekunywaa wine ndo anakuwa na busaraUnajua shemela unajuaje kama mtu anakupenda
Wewe ikitokea labda nina mikwaruzo na baba d huwa nakuona aisee huwa unaongea ya moyoni hutaki kuona me na baba d tupo tofauti sio kama wengine jamaan wanafurahi kuwa nimeachwa sijui tumeachana ndio maisha lakini unajua jinsi ya kuishi na kila aina ya mtu
Na mara nyingi upo upande wangu sio siri sikujui shemela lakini unaonekana una roho nzuri sababu ya kukuona hapa jukwaani pamoja na kuwa sijui unafananaje