Makapuku Forum

Makapuku Forum

Santorini island, Greece
ed3bbaf7277f6f624f448c3ff13231f0.jpg
Pazuriiii
 
1986 - Lionel Messi anazaliwa.

Mchezaji mahiri kutoka Barcelona na timu ya taifa ya Argentina.

Sina mengi ya kumuelezea nadhani kila mtu anajua Messi ni nani.

Ni mchezaji bora zaidi na mwenye kipaji cha hali ya juu kuwahi kumshuhudia toka nifatilie kabumbu.
99b1b50fab14710c33204f45736c2d9c.jpg
657b82e33d4a99e35a12f2a0bd4083a2.jpg
Nani bora kati ya Messi na Rinaldo ?....Bishaneni wenyewe
Alichokosa Mess I ni mafanikio/kombe kwenye timu ya Taifa !!!
b856e792c9e5a7eaf10c83aab5b2f325.jpg
e099cebdf6fd8a3fcf84a82b234a6db4.jpg
e6949728ddb8af06c8635535027ef2a1.jpg
Huko Iran Kuna njemba limefanana na Messi linapiga pesa
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom