Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,937
Mh tutaenda woteAchana nao next time sikuachiii
Mh tutaenda woteAchana nao next time sikuachiii
Nipo mm jamaniiiiNakuona ujue
Sidhan kama wolper kasema chochote...Huyu wolper nae anachekesha angejinyamazia tu mana ni aibu


Ugonjwa upi tena jamaan Baba DUgonjwa wako naona umeimprove
Waachee kipenziiiWote na wewe pia mara huko porini ni muwindaji mda wote huu au anachoma mkaa porini anafanya niniii
Ndefuuu sana![]()
![]()
![]()
![]()
Na mm natafuta mwaliko make wekeend ndefuu
J3 Baba kesho ni kuandama kwa mweziHivi ni kesho au ??
Nakujua lakini sipendiSii unanijuagaaa vileee
Nipo mimiiBaba D vipiii jamaan
Aya mambo bwanaaaah ...
Sawa bhanaaa ngoja nisubirie mwaliko wa mama ashura wa bhinamuu

Ulikuwa wapi labda kwenye majukwaa mengine nilikuwa mimi na shemela na mama mchuchu badae nikabaki na shemela mpaka nilivyobaki peke yanguMbona mm nilikuwepoo
Sidhan kama wolper kasema chochote...
Kasome hilo gazeti uone walichoandika.
Utakusikia "tulimpigia simu ikawa inaita bila kupokelewa"
![]()

Mambo gani hayo tena jamaanThen tusibirie kuona mambo ya ajabu aisee
Kumis mashemejiiiUgonjwa upi tena jamaan Baba D
Daaaaah hatariiiiNdefuuu sana
Hiii mbona atariiiiJ3 Baba kesho ni kuandama kwa mwezi
Wanaume zake anaotembea nao hivi Baba D na wewe unaanzaje kujitangaza unanukaAiseeeeh ...kwa hiyo nani anatangazaa yeye au ??