Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
AiseeeHapana advance love,
AiseeeHapana advance love,
RIP Emilio Kolombo2013 - Emilio Colombo anafariki Dunia.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa 40 wa Italy.
HahahhahHuyo hapati kabisa love
HBD David Alaba1992 - David Alaba anazaliwa.
Beki wa kushoto wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Austria.
Sitambui loveRelax my love n huyo na zawadi zake dio namuuliza hapa unatambua uwepo wa hizo zawadi love?
HBD Micah Richards1988 - Micah Richards anazaliwa.
Beki wa zamani wa Man City ambaye kwasasa anacheza Aston Villa.
Sitazipokea love wanguSitambui love
I see![]()
Bendera za Zanzibar kabla ya Muungano wa kimagumashi na Tanganyika![]()
Okello ni Mjaluo wa Uganda/Kenya licha ya kuongoza mapinduzi historia ya ushiriki wake haisemwi sababu siyo Mzanzibar![]()
Amemsaidia Karume kuonekana shujaa yaani Okello hakuhitaji madaraka .....kisha Karume baada ya kuweka madarakani akamgeuka
.......
Ndoo maana nakuuulooooveHawajuagi ujue pale unapotoa unazidi barikiwa
1988 - Micah Richards anazaliwa.
Beki wa zamani wa Man City ambaye kwasasa anacheza Aston Villa.
Aha ha ha ha ha ha haNdo utashangaa unakuja afu inapigwa dua hadi jioni... no msosi wala nini![]()
HBD Lionel Messi1986 - Lionel Messi anazaliwa.
Mchezaji mahiri kutoka Barcelona na timu ya taifa ya Argentina.
Sina mengi ya kumuelezea nadhani kila mtu anajua Messi ni nani.
Ni mchezaji bora zaidi na mwenye kipaji cha hali ya juu kuwahi kumshuhudia toka nifatilie kabumbu.
Nakulove munoooooo hunieNdoo maana nakuuuloooove
HBD Kevin Nolan1982 - Kevin Nolan anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Bolton, Newcastle na West Ham.
Katika timu zote hizo alizocheza katika Ligi Kuu amekuwa kepteni wa hizo timu huku akiwa na kocha wake Sam Allardyce " Big Sam " katika timu zote hapo juu.
Kwasasa anacheza soka katika madaraja ya chini England.
SawaaMwaliko mtapata baada ya kupata uhakika wa sikukuu yenyewe
HBD Juan Roman Riquelme1978 - Juan Roman Riquelme anazaliwa.
Kiungo Mshambuliaji wa zamani wa Boca Juniors, Barcelona, Villareal na timu ya taifa ya Argentina.
Mmoja kati ya viungo bora kuwahi kutokea katika soka.
NimejikutaaaaUmeguna tena
RIP...POLE sana kwa kumpoteza mwanachuo mwenzakoLimenikumbusha mshikaji wangu nimesoma nae!
Alifariki tukiwa chuo! Alikuwa anajiita mkushi..