Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Mpaka nitoe ruhusa kwanzaKaribu mimi nakupa mwaliko
Mpaka nitoe ruhusa kwanzaKaribu mimi nakupa mwaliko
Anytime leeWaaaaaooooh asanteee
Kuna sehemu nzuri Sana, duniani sema mchawi pesa tuLikizo ya majira ya joto panafaa sana hapo
Sijaju kwasasa!
Kwahiyo tumsubiri 2020 au keshatoka?![]()
.....
Honey, ni sawa pia as u wish my love.Mpaka nitoe ruhusa kwanza
Kama ChatoHitachi Seaside Park, Japan
![]()
Mchele wenyewe robo, hapo hapo pilau, bado wali mweupe, my loveHoney, ni sawa pia as u wish my love.
Chato Hii Hii au?Kama Chato
1978 - Juan Roman Riquelme anazaliwa.
Kiungo Mshambuliaji wa zamani wa Boca Juniors, Barcelona, Villareal na timu ya taifa ya Argentina.
Mmoja kati ya viungo bora kuwahi kutokea katika soka.
Shukrani mamy ubarikiwe sanaKaribu sana karibu wewe na wengine wotee
Sitaki banaJoooomoooooniiij
Hahahaaa mpenzi wangu hiki choyo honey wageni huleta barka mpenzi tutakuywa maji tumkirimu mgeni honeyMchele wenyewe robo, hapo hapo pilau, bado wali mweupe, my love
Toka lini akawa ostadhi mkewe sijui jamanOstadhiiiiii lee
Chato ya Japan Mkuu!Chato Hii Hii au?
Pazuriiii ...ila ingekuwa bongo pangekuwa pashaharibikaa ...watu kwenda kupenzika na kupiga selfie

Amyn maa tubarikiwe soteShukrani mamy ubarikiwe sana
kheeee baba kasema na baba ndio mwenye sautiMpaka nitoe ruhusa kwanza
Maradona ana kiti maalum kabisa katika Uwanja wa Boca, La Bombonera.![]()
Huko Boca ni mfalme kando ya akina Carlos Tevez![]()
Nafikiri Maradona pia alitokea Boca
.....
Mchele wenyewe robo, hapo hapo pilau, bado wali mweupe, my love
basmat unavimba lakini jamaan