Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Sasa unaona naipataa ??We si unaomba mialiko Baba D
Wananipiga chenga ..mara mwanza mara kibitii
Sasa unaona naipataa ??We si unaomba mialiko Baba D
Kweliiiii
2002 - Treni ya Abiria inagongana na Treni ya Mizigo eneo la Igandu na Msagali Mjini Dodoma na kuua watu 281.
Ndio ajali ya treni iliyoua watu wengi zaidi katika historia ya bara la Afrika.
Rais Mkapa akatangaza siku kadhaa za Maombolezo na maiti ziliwekwa uwanja wa Jamhuri ili watu watambue ndugu zao.
Ajira zipi? Au za kufanya mazingaombwe
Alisema atakayefika wa saba yupo mjini ni mwanaumee
watu bado wanakomaa
Ntawaringiaaa kinomaaaaWaambie tutakutana dec
Kweliii mkuu
Ni kweli Tmuller mwayaHata hiyo inatosha mkuu, uchumi mgumu sana kipindi hiki! Si unajua hatutakiwi kufanya mambo yalotuzidi uwezo!!
KweliiiTupo tofauti sana
Sasa unaona naipataa ??
Wananipiga chenga ..mara mwanza mara kibitii

Wee nenda nikirudiii alhamis usilalamikeeWe si haupo nashindaje sasa
Inasikitisha sana![]()
![]()
Pamoja na janga hilo hatujajifunza ajali za kizembe za treni zina endelea tu kutumaliza![]()
Ni kama MV Bukoba tu
.....
Kama hamtualikiii tufanyejeeeUtakuja tu, afu mwaliko hauombwi ujue
Mh basi siendiWee nenda nikirudiii alhamis usilalamikee
Anayegonga like kwangu kwa jina la binamu ni naniau dogo
atakuwa mama wawiliiHahahaha nakutegemea wewe ujueUsinifanyiee hivo ...ujue tunayemwamini ni mmoja na yatupasa kushirikiana kwa kushirikishwaaa...
Ebu sema neno nijuee ...kama sipati kwako basi nijue
Alafu yanalalamikaa hayana nguvu ....nyambafuuu zaoooWanaume wa dar ndio kuku wao hao![]()
KatishaaaaMasoud katika ubora wake uliotukuka.