Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hitachi Seaside Park, Japan
23636ee4f0caba1f26c3ea8fa0fd3209.jpg
Pazuriiii ...ila ingekuwa bongo pangekuwa pashaharibikaa ...watu kwenda kupenzika na kupiga selfie
 
3139c219972e11393e1099f5df001543.jpg
fb1eb99c7fe9003907218ce6700cd79a.jpg
2e96b5594ddf476c44fdce92b0d95146.jpg
Bendera za Zanzibar kabla ya Muungano wa kimagumashi na Tanganyika
5a52c2948291be922f690dd6f302c3d4.jpg
f3ee9ebf8004fe899c433518159c8c3d.jpg
Okello ni Mjaluo wa Uganda/Kenya licha ya kuongoza mapinduzi historia ya ushiriki wake haisemwi sababu siyo Mzanzibar
Amemsaidia Karume kuonekana shujaa yaani Okello hakuhitaji madaraka .....kisha Karume baada ya kuweka madarakani akamgeuka
.......
Afrika katika ubora wake wa kipekee!

Mbona Che Guevara aliongoza mapinduzi ya Cuba na Kiongozi akawa Fidel Castro lakini mpaka leo Che Guevara ni shujaa wa Taifa hilo japo ni raia wa Argentina.

Tumpe credit zake Okello.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom