BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Kweli Mama kikubwa ni kujitambuaHahaha hatari....ni muhimu kujitambua
Pamoja sana bitozHuyu Spika wa ajabu sana anafikiri anakomoa wapinzani wakati wanaoumia ni wananchi.....pesa za maendeleo zinatokana na haohao walipa kodi
Kazi ya mbunge ni kuwawakilisha tu wasipopoleka huduma kwenye majimbo ya wapinzani ndo wanachochea chuki dhidi ya chama utawala
Stupidity
.
.
.
Kuhusu Kibiti hii ni too much
Sizonje yupo hukohiko Pwani na bado wanaua tu
Juzi tu Polisi wameonesha ubabe kwa wakemavu kumbe hawana lolote
Inasikitisha
.
.
Ahsante mdau kwa magazeti
Yaani sina hana ya kukodoa macho kwenye meza za magazeti
..........
WAtu washaanza kukimbia makazi yao tuko nao mbagala hapaPUMZIKA KWA AMANI TRAFIC KIBITI..HII HALI ITAISHA LINI JAMANI MUNGU AINGILIE KATI
Asante mama mchungaji kwa kuyapitiaAsante sana kwa magazeti mkuu Shululu kwa udhamini wa binti yangu mpendwa Shunie![]()
wa Lee mbarikiwe
So sadIla kibiti mbona panachukuliwa mzaha
Hata katibu wake hajui yuko wapiMuhongo tangu atumbuliwe hatak shida na mtu. ..![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
System imesinziaIla kibiti mbona panachukuliwa mzaha
Na hamna taarifa yoyoteMhongo !kaenda wapi?
Cc. BitozPolepole bitoz asikusikie![]()
![]()
this is simbaaaaaaaaaaaaaaa
Morn tooSiku nyingine nzuri ya kumshukuru Mungu
Wanasema kila tunapoamka ndo tunalikaribia kaburi
Gooodmorning
Amen mamiiHongera waislamu wote mnaofunga mnaotimiza nguzo hii muhimu,Mungu awasaidie mmalize salama ,huu ni ushindi katika imani,siku hazigandi Ramadhan Kareem kwenu wote Mwenyezi Mungu BABA wa Rehema awabariki mmalize salama.