BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
PUMZIKA KWA AMANI TRAFIC KIBITI..HII HALI ITAISHA LINI JAMANI MUNGU AINGILIE KATI
PUMZIKA KWA AMANI TRAFIC KIBITI..HII HALI ITAISHA LINI JAMANI MUNGU AINGILIE KATI
Ila kibiti mbona panachukuliwa mzaha
Asante mama mchungajiUbarikiwe Lee wa Shunie siku njema
Kiukweli hii kitu inasikitishaaPUMZIKA KWA AMANI TRAFIC KIBITI..HII HALI ITAISHA LINI JAMANI MUNGU AINGILIE KATI
Mhongo !kaenda wapi?
AsanteTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO
Ubarikiwe sana mkuu karibuAmen, Asante kwa neno mama mchungaji
Mitumba yenyewe bei juu haishikiki kwa kodi
Wacha DAWASA IBADILISHWE UONGOZI TUYAONE HAYO MAJI
Yaani hapa kaburi linafukuliwa...mambo yote ya zamani yaliyosahaulika au kupuuziwa yanaanzishwa upya .Sijaelewa aisee
Hongera sana,hii inawezekana hata Lake Tanganyika
Hatari...lakini kama hakujua hamna namna
Yaani hapa kaburi linafukuliwa...mambo yote ya zamani yaliyosahaulika au kupuuziwa yanaanzishwa upya .

Hata shetani huwa anatu attack hivyohivyo tudumu katika maombi
I see hongera kwa upendo na utoaji,Mungu anamuongezea
Safi sana