Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
1947 - Jerry Rawlings anazaliwa.
Alipata kuwa Luteni na Rais wa Ghana.
Alipata kuwa Luteni na Rais wa Ghana.
Unaenda wapi sasamnyamaaaa kama chelsea [emoji125]
Hbd John1903 - John Dillinger anazaliwa.
Alikuwa ni Jambazi sugu aliyesumbua nchini Marekani katika miaka ya 1930's kipindi cha Mdororo wa Uchumi.
Alikuwa na genge lake kubwa la kihalifu lililokuwa linavunja benki na kuiba.
Alikuja kuuliwa na FBI mara baada ya kutafutwa sana.
Hbd Jerry Rawlings1947 - Jerry Rawlings anazaliwa.
Alipata kuwa Luteni na Rais wa Ghana.
Morning clkeyMorning guys,mko poaaaaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hivi nyasi zenu bandia bado zipo stoo Msimbazi au mshapeleka Bunju?Nataka niwalete mbuzi wangu hapo Msimbazi maana huku Mabibo malisho yamepungua![]()
........
Leo katika historia:
1906 - Bendera ya Sweden yaanza kutumika.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ewaaaaaaaaaaah na kwa kuonesha furaha ruksa kushangilia timu yako pendwa ya Jose .....kuanzia leo wewe ni man u forever
Namkimbilia Baba D shemela huko chelsea [emoji4]Unaenda wapi sasa
Pamoja mkuu musoliniShukrani mkuu
R.i.p Nixon1993 - Pat Nixon anafariki Dunia.
Alikuwa ni Mke wa Rais wa Marekani, Richard Nixon.
Shemela umesikia[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Asante husna muba wa Obe [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nawe pia mkulu shululu Wa tumosa.
Asante kwa magazeti
[emoji38] [emoji38]Itabidi nani niwape mbuzi wangu mafunzo ya kijeshi
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.
.
.
Ahsante mdau
Tongotongo zishanitoka
........
Wewe upo kwenye hayo magroupHaya Magroup ya Whatsapp ni hatari sana kwa Wanandoa na Wachumba. Nimeshuhudia mambo ya Kutisha najua haupendi kutembea nimekuletea link usome
Shemela wa mimi apa, umeamkaje?Kweli Mama kikubwa ni kujitambua
Pesa inatafutwa kila kona.Tangazo![]()