Makapuku Forum

Makapuku Forum

1986 - Kombe la Dunia mwaka 1986 nchini Mexico: Mechi ya robo fainali baina ya Uingereza dhidi ya Argentina inafanyika.

Diego Maradona, nahodha wa Argentina anafunga magoli mawili murua na kuitoa England kwa jumla ya magoli 2-1.

Goli la kwanza, Maradona alilifinga kwa mkono na goli hilo linajulikana kama Goli la Mkono wa Mungu.

Goli la pili, Maradona alipiga chenga wachezaji watano wa England kabla ya kufunga. Goli hili linajulikana kama Goli la Karne.

Hiyo ni moja kati ya mechi za kukumbukwa za wakati wote katika historia ya mchezo wa soka.
Na waingereza mpaka leo hii mechi huwa inawaumiza sana moyoni
 
1903 - John Dillinger anazaliwa.

Alikuwa ni Jambazi sugu aliyesumbua nchini Marekani katika miaka ya 1930's kipindi cha Mdororo wa Uchumi.

Alikuwa na genge lake kubwa la kihalifu lililokuwa linavunja benki na kuiba.

Alikuja kuuliwa na FBI mara baada ya kutafutwa sana.
HBD John dillinger
 
1941 - Jeshi la Nazi la Ujerumani laivamia Urusi katika kile kilichojulikana kama Operesheni Barbarossa.
37d7caaddb3a84754d937b72a853b188.jpg
bd91f92d7a43e3d9b4ba2271564fb8b4.jpg
d5e3f4b4de7552050cfe5c083ae7d79d.jpg
Ilikuwa ni wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia
Lengo kuu Ilikuwa ni kuiteka conquer sehemu ya Magharibi ya Umoja wa Soviet ili kupata watumwa wa kuwatumia vitani,kuchukua rasilimali za mafuta pia kilimo(mazao}
Ikumbukwe wakati wa vita chakula huadimika
........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom