Makapuku Forum

Makapuku Forum

kweli maisha magumu jamaan
17ca6208ba5d70a8ae76db366174fc5e.jpg
Ulimi kiungo kidogo matatizo yake ni makubwa..ukimfuatilia huyo kijana mwisho wake Mungu anajua..tumuombee tu aombe toba na aujue wema wa Mungu kwake kuliko kujitamkia maneno hayo.
 
Katika dondoo za bbc. ...

Majeshi ya Iraq na Marekani yamesema wapiganaji wa Islamic State wameulipua msikiti mkubwa wa al- Nuri uliopo mjini Mosul na pamoja na mnara wake mkongwe uliodumu karne na karne.

Viongozi wandamizi wa mataifa makuu matano yanayojumuika katika ushirika wa bonde la mto Nile wanakutana nchini Uganda kujaribu kutanzua tofauti zilizosababishwa na mapatano ya Entebbe kuhusu matumizi ya maji yamto huo.

Wakimbizi kutoka Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo walioko katika kambi za wakimbizi nchini Rwanda wanalalamikia kupungua kwa idadi ya wanaohamishwa kutoka kambini na kwenda kuishi nchini Marekani.

Mahakama ya kikatiba nchini A-Kusini ambayo ndio yenye uamuzi wa juu kabisa leo itaamua iwapo kura ya siri inaweza kutumika bungeni kumuondoa rais Jacob Zuma madarakani .

Nchini Tanzania ,Dr.Askwari Hilonga mtaalamu wa masuala ya Uhandisi wa kemikali ameamua kutumia taaluma yake kutatua matatizo yanayosababishwa na maji kutokuwa safi na salama katika jamii inayomzunguka.

Uchafuzi wa mazingira ya ziwa Tanganyika kwa upande wa Burundi umekua ukitia wasiwasi mashirika ya kimataifa na hata ya raia wa nchi hiyo ya kulinda mazingira kwa ujumla.
Asante Baba D wangu ubarikiwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom