Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Na kwako piaTuwe na Alhamis njema wadau...ila kuthubutu ikiwa nguzo yetu kwa kutenda yaliyo mema ....
Na kwako piaTuwe na Alhamis njema wadau...ila kuthubutu ikiwa nguzo yetu kwa kutenda yaliyo mema ....
HESABU 6
24."BWANA Akubarikie na kukulinda"
BABA Asante kutuamsha salama siku ya leo ,hatuna la kusema zaidi ya Asante,tunajikabidhi Mikononi mwako siku ya leo utuondoe katika hatari mbalimbali na ajali mbalimbali za mwili na za roho,utuopoe kila tuingiapo hatarini Mfalme wa Amani.
Ponya wagonjwa wape nguvu wafiwa wajane yatima wape tumaini la kudumu,wasaidie wenyechangamoto mbalimbali wakumbuke baraka zote tangu kuzaliwa hadi siku ya leo.
Mahali hapa MAKAPUKU tupate maarifa,tupate furaha,tupate faraja pawe kimbilio la wengi wenye mapenzi mema.
Tunakushukuru sana kwa baraka tele unazotujalia za marafiki,kazi ,chakula,Amani,mavazi,uhuru,upendo,mshikamano,masomo,maarifa ,uponyaji,kukujua wewe,kukupenda na kukuheshimu Baba hatuna mwingine kama wewe asante kwa kuwa hujawahi kuchoka kila siku umetenda mema na makuu kwetu.
Zidisha upendo mahali hapa ,tupe mshikamano na furaha ya kweli tusaidie tufahamu mahitaji ya kila mmoja wetu na kuombeana Amani
Walinde wasafiri wafike salama,wagonjwa wainuke katika vitanda na kupata kupona,wasio na makazi wape makazi ya kudumu ee BABA,wasio na ajira wape maarifa na mbinu bora za kuishi,boresha mahusiano ya familia,ndoa,uchumba kila mmoja ajue kusudi lako katika maisha.
Asante kwa ulinzi BABA,Tunaomba yote yafanyike katika utukufu wa jina lako takatifu jina la Yesu,Damu yake takatifu itufunike.
Amen
NAWATAKIA SIKU NJEMA SANA MBARIKIWE![]()
![]()

Shikamoo Mama umeamshwajeHahahaha
Jamaan huku kibiti
kunatisha sana
Msuva anakuja

Mh huyu Husna Sajent kiboko aisee mtoto wa 3 huyo na kila mtu na baba yake
Hahahha singano simba huwezi kurudi labda uje kucheza bure na azam ndio hivyo labda ukachukue mill 15 pole sana uliondoka kwa dharau sanaView attachment 528592Sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa Shunie
Nawatakieni wote siku njema
Asante sana kwa magazeti mkuu Shululu kwa udhamini wa binti yangu mpendwa Shunie![]()
wa Lee mbarikiwe

Kweli kabisa MamaUlimi kiungo kidogo matatizo yake ni makubwa..ukimfuatilia huyo kijana mwisho wake Mungu anajua..tumuombee tu aombe toba na aujue wema wa Mungu kwake kuliko kujitamkia maneno hayo.
mnyamaaaa kama chelseaWaleeeeeeeeteeeeeeee
This is thimbaaaaa bwanaaaaaaaah

HakikaKatika maisha misukosuko ni mingi ila hutakiwi kukata tamaa
Huyu Spika wa ajabu sana anafikiri anakomoa wapinzani wakati wanaoumia ni wananchi.....pesa za maendeleo zinatokana na haohao walipa kodi
Itabidi nani niwape mbuzi wangu mafunzo ya kijeshi
Mama obe ndio nani?!Usicheke mama obe ...binamu kanifanyiaa figisu nyingi kipindi kile sema bhas alikukuwa ananitoaa zile soda za peps

Wazungu banaa akili zao wanazijua wenyeweWazungu wamembania
Wakati kuna teknolojia ya kupima umri kwa kuangalia mifupa
Huyu ni Mwafrika....Wazungu kila rekodi wanataka iwe yao
......
Kipanya anachokitafuta, atakipata!Tafakar ya kirat. ..![]()
Asante kwa somo husna muba

Na ajiue tu but pesa hapatikweli maisha magumu jamaan![]()
Itabidi nani niwape mbuzi wangu mafunzo ya Ulinzi
![]()
![]()
![]()
.
.
.
Ahsante mdau
Tongotongo zishanitoka
........
inawezekana kabisa wanyama wanafundishika