Hivi nyasi zenu bandia bado zipo stoo Msimbazi au mshapeleka Bunju?Nataka niwalete mbuzi wangu hapo Msimbazi maana huku Mabibo malisho yamepungua![]()
........
madenge tuliaa najua tumewaachiaaa pengo la kudumu....
Kwanza nahisi watashkuru akijiuaNa ajiue tu but pesa hapati
Oooooh lee mamiiiii mpenziiiii niko salamaaBaba D shikamoo jamaan umeamkaje lakini
Tutawauaaaa walahiiiiiiiMsuva anakuja![]()
AmeeenAsante sana Husna.
Angalizo: katika hali yotote ile mama akijisikia ni mjamzito (amekosa siku zake za maua)kwa namna yoyote kama alikua anatafuta mtoto au imetokea tu bila taarifa ni muhimu kwenda hospitali,kufanyiwa vipimo maalumu vya awali vya ukuaji na maendeleo ya mtoto pia afya ya mama,bahati nzuri siku hizi utaalamu na vifaa vimeongezeka na hata inasaidia kuokoa mama na mtoto aliye tumboni na hatimaye atakayezaliwa...tusikae nyumbani kungoja dharura..nimeona watu wengi wakiokoa uhai kwa kuwahi hospitali na nimeona watu wengi wakipoteza uhai kwa kuchelewa kufika hospitali..dawa mbadala ni nzuri kukinga lakini kwa wajawazito zinahitaji uangalifu na ufuatuliaji wa karibu sana .
MUNGU ametupa nafasi ya kushiriki uumbaji kwa kukutana na mume , kubeba mtoto miezi tisa tumboni tuiheshimu hii zawadi ya uhai na tuitunze maana MUNGU AMETUHESHIMU.Kushiriki ulinzi,uhai na maendeleo ya mtoto,kuna mambo yanazuilika ukiwahi hospitali MBARIKIWE

Mutu ya mke wa lee cheupeeee shuny .....Hahahha singano simba huwezi kurudi labda uje kucheza bure na azam ndio hivyo labda ukachukue mill 15 pole sana uliondoka kwa dharau sana
Shemela wangu mimi hope umeamka salama
Nashkuru kwa udhamini muke ya pedeshee lee mutu ya niniii sijui wanamwita wenyewe me nampenda tu hivyo hivyo jamaan Baba D wangu
Marahaba my baby girl mzima?Mungu ni mwema kaniamsha salama kabisa namshukuru u abarikiwe my dearShikamoo Mama umeamshwaje
Ewaaaaaaaaaaah na kwa kuonesha furaha ruksa kushangilia timu yako pendwa ya Jose .....kuanzia leo wewe ni man u forevermnyamaaaa kama chelsea![]()
Hahaha watapona kweli?Hivi nyasi zenu bandia bado zipo stoo Msimbazi au mshapeleka Bunju?Nataka niwalete mbuzi wangu hapo Msimbazi maana huku Mabibo malisho yamepungua![]()
........
Ha ha ha ha ha mbuzi wako wana jeurii sanaa ...Itabidi nani niwape mbuzi wangu mafunzo ya Ulinzi
![]()
![]()
![]()
.
.
.
Ahsante mdau
Tongotongo zishanitoka
........
MpendwaMama obe ndio nani?!![]()
Kipanya anachokitafuta, atakipata!
Asante kwa segment.
Morning mpendwa wa binamu
Oyaaaa niaaajeee chaliiiiiiiMorning guys,mko poaaaaa
Atariiiiii![]()
![]()
huyu kirat huyu
Nawe pia mkuuTuwe na Alhamis njema wadau...ila kuthubutu ikiwa nguzo yetu kwa kutenda yaliyo mema ....