Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Wachina watu wabaya sana
Ila pia Tanzania haina tatizo la upatikanaji wa mchele sema watu wa mjini "usasa mwingi" mfano watu hata maji ya kunywa tu eti wananunua supermarket wakati maji ya bomba yamejaa tele
Waache tu saratani ziwamalize
.......
Balozi bwanaaah wengine kandoro mwanzo mwengaa twabugiaaa
Apa nitafute rafiki yangu wa zaman wa chuo anitafutie debe la mchele mbeya