shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Kuna mtu alisema wewe zipo 30 [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] sijui kwelihahaha unachomoka vipi shemela
Kuna mtu alisema wewe zipo 30 [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] sijui kwelihahaha unachomoka vipi shemela
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87]...first of all ticha: Hajawahi kusema hanitaki
seondly: uko singoland na mimi niko singoland kwa hiyo ninakulike nawe unanilike yaani tunalikeana. Tunaweza kusaidiana kumaliza hiki kiroba ulichonacho na nilichonacho hadi pale tutakapopata mwelekeo sahihi
hapana aisee hizo zote za nini mimi na nguo zangu ninazovaa daah siwezi jamaanKuna mtu alisema wewe zipo 30 [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] sijui kweli
WoyoyooooooooooooSidhani kama nitachoka kusema asante kwa maua haya mazuri. Nikisema nikuhug amini sitataka zaidi ya hapo, kwa sasa
Mimi sina fitinaFitina zenu
Bora leo umefunguka
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] kwaiyo ndo kwisha habar yangu[emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253]
Yalaah[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]..ya nini kunyoosha mkono wakti kunawengine wanyoosha miguu chini kuunga mkono hatua ya beibe husna muba
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]hapana aisee hizo zote za nini mimi na nguo zangu ninazovaa daah siwezi jamaan
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maombi ya mama mchuchu yamefanya kazi...ha hahahah, nilifungwa kweli. Nadhani nilifungwa na mapepo
[emoji125] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Sidhani kama nitachoka kusema asante kwa maua haya mazuri. Nikisema nikuhug amini sitataka zaidi ya hapo, kwa sasa
Washangaa nini[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87]
we mtu mzima ujue[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] kwaiyo ndo kwisha habar yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] kwaiyo ndo kwisha habar yangu
Baba D umeona ulivyoongea[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji8] [emoji8] [emoji8]
mtuhumiwa wa nini mke mwee
Binamu yako mimi ndio nilimuokoa kipindi hicho kaja kuuza almasi, akataka kutapeliwa, nikamsaidia, alikuwa ashachukua pk za blue eti ndio almasi yake, usinge muona mjini, wewe muulize tuFitina zenu
Mama mchuchu nime-miss[emoji39] [emoji39][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maombi ya mama mchuchu yamefanya kazi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]hapana aisee hizo zote za nini mimi na nguo zangu ninazovaa daah siwezi jamaan
kuhusu mama mchuchu wananisingizia jana simu yangu kutwa nzima alikua nayo Baba D kwahiyo kama kuna vitu vimesemwa ni Baba D ndio kaaandika binamu sio mimi hivi naanzaje binamu yangu ninavyokupenda uwe na furaha...anamaanisha wewe ndiye uliyechagiza BH akaacha kuja kuniona pale nilipoumwa jana. Amesahau wewe ni mtuhumiwa namba mbili ambaye tumeshasameheana maana mara zote una nia njema nami na hilo ndo muhimu kwangu