Makapuku Forum

Makapuku Forum

bf3b8a15cc0b55663a971819491bf66b.jpg
Wanajeshi baadhi hata hapa Bongo waliojihusisha kupinga mizinga n.k masikio yao yanasumbua maana ngoma zao zimepata matatizo

Hata mitambo ya viwandani yenye kelele huwaletea watu matatizo
......
 
Ni kweli maana ilikuwa ni vita kati ya Vietnam Kaskazini dhidi ya Kusini ambayo ilikuwa inasapotiqa na USA kwa kupewa vifaa vya kijeshi n.k
Vita ilianza siku Wamarekani walipoenda kuwasapoti Vietnam Kusini na vita kupigwa miaka kama 19 hivi
Kaskazini nao wakasapotiwa na China na Urusi na USA kuambulia kichapo na hivyo Kaskazini kuimeza Kusini na kuunda The Socialist Republic of Vietnam
Kiuhalisia ilikuwa ni vita kati ya Vietnam na USA

Kazi ipo tuliokimbia shamba ...ila hatuna namna asante kwa ushaurii
Wachina watu wabaya sana
Ila pia Tanzania haina tatizo la upatikanaji wa mchele sema watu wa mjini "usasa mwingi" mfano watu hata maji ya kunywa tu eti wananunua supermarket wakati maji ya bomba yamejaa tele na pia kufuga kuku ni rahisi lakini wanaita ni ushamba na hivyo wanaiahia kula/kununua kuku wa dawa pamoja na mizoga
Waache tu saratani ziwamalize

.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom