Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Sasa hapa atasema nimemfitiniiiaiseee khaaa nimecheka kwa nguvu![]()
![]()
sawa binamu me nilitaka nije nikuone tutoke mara moja nikununulie safari lager zako basi
Bhinamu vipi upo tayar ucancell kule
Sasa hapa atasema nimemfitiniiiaiseee khaaa nimecheka kwa nguvu![]()
![]()
sawa binamu me nilitaka nije nikuone tutoke mara moja nikununulie safari lager zako basi
Alinikeraaa sanaa huyu mtaasisi wako ...wabaya wetu wapo wengiNenda zako huko, wewe jina lako ndo la kwanza kabisa kwa mlionifitni jana, na nimeliwekea nyota tano. Yaani mtaasisi, ni suala la muda tu, tusilaumiane. Fitna zako za jana etii unajitolea kusindikiza? Kwani wewe ni msalaba mwekundu? Au ni mkabili majanga au ni mkuu wa mkoa?
Natafuta mafaili yako kitaasisi hapa siku Linamo akija tu nayafungulia kama bomba mvua
Tumemsubiriaaa ajeeaiseee shem nyagei huyu hashindwi kukuharibia na kuhusu linamo umejuaje kumbe unasomaga kimya kimya binamu![]()
Tumiaaa mama kwa raha zakooomuke ya pedeshee lee mutu ya peremende ukiwa nazo tumia tuu
aiseee khaaa nimecheka kwa nguvu![]()
![]()
sawa binamu me nilitaka nije nikuone tutoke mara moja nikununulie safari lager zako basi
KashanijibuAkikujibu nishitue
ni opt ya msg hapa jf binamu jamaan ukitaka kuongea na mtu mambo yenu mnaingia inbox unanichosha tuseriously, au kuna uzi/thread nyingine inaitwa pm imeanzishwa kupunguza kasi ya Makapuku sisi? Sijui kwanini mimi huwa nakuwa wa mwisho kujua. Kuanzia kesho nakaa siti ya mbele ili nielewe mapema. Backbenchers mtanisamehe nahama
Muendelezo ndio mpaka weekend ijayo?Binamu unanijua mm kwenye ukweli sipindishiii kwa kweli kwa ishu ya Ashura nilitakiwa nifanye hivo ...unajua kwa nn nilifanya hivo make Jamila asingenilinielewaa...
Ao achana nao waendeleze fitina zao ila tutashinda ...babu yangu kama leo umeshinda nae nashukuru make wewe utafikiri ndani kuna miiba ukikaa inakuchoma ...nadra sana
Ubarikiwe kwa hilo (in mama mchungaji voice)
Yetu machonataka kuonana nae leo nataka kwenda nae bakulutu
bana kama hatak basiSasa hapa atasema nimemfitiniii
Bhinamu vipi upo tayar ucancell kule
Hiyo code huwez kuelewaaahivi shanga 700 zinakaje kiunoni binamu acha kutulisha matango pori
poleni jamaan wasameheni tuAlinikeraaa sanaa huyu mtaasisi wako ...wabaya wetu wapo wengi
Huwa anasema yeye ni Heineken tu, sio mimiUsijifanye unamjuaa sana mpaka kinywajii akipendachoo
Niliiijuuuuuuaaaa binamu ....alafu ukajifanya hujui chochotee ukaniachaa mataa ukasahau wewe ulivoyakoroga kwa chausiku nilivosotaa kukuwekeaa mambo sawa...
Alafu yule fundi bwana alinikeraa mm ndo wa kwanza kupanda nae daladala ...kukosa kwangu vocha kuomba nimpigie kwa siku yako ukafaidii mazima kwa kujifanya unaiga sauti yangu
story zako na binamu yako zinanichekeshaga sana
Nakaribia kufika one time alafu naenda kuleNashukuru kwa kuttaka kuhang out, ila leo haitowezekana. Nimetekwa huku na kwa kweli mtekaji wangu ana roho nzuri, ananipikia supu
Nacheka kwa nguvu hapa, maana ni kama mwalimu wa nidhamu enzi za sekondari anakuomba msamaha kwa kukuchelewesha darasani
binamu kinachokuchesha me kuwaombea msamaha au wasamehe tu binamu yangu kosa ni kurudia kosa
nani mmemsubiliTumemsubiriaaa ajee
Mmmmh!Sio mbaya cha binamu changu
acha nitumie maisha yenyewe mafupi hayaTumiaaa mama kwa raha zakooo