Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Utanitaghivi huyu wa shanga 700 binamu bado unae
Utanitaghivi huyu wa shanga 700 binamu bado unae
acha tu shemelaNdiyo hivyo, kuna wakati tochi nyingi, wakati mwingine barabara ya vumbi safari itafika tu
Poa Poaebu ukuje pm kidogo tu dada
Muachee mmemfitiniiamefanyaje tena
Poa kabisa shemela wa mimivipi shemela wangu
Da pole mpendwa mwayaaaaOrodha ni ndefu my sweetflower yaani inaanzia kwa aunt yangu, majirani zake namajirani zangu na hata ambao huwa hatusalimiani.
Huwezi amini hata wewe japo ua hukunitumia (ila wewe haujanifitini)
hapana shemela nipo kitandaniPoa kabisa shemela wa mimi
Weekend imeendaje
Kama kawaida Heineken kwa sana au
No, si ya kutoka kwa huyu au BH, haya yanakuja direct moja kwa moja kwangu. Sitaki uyatie najisi

me naanzaje kumfitiniMuachee mmemfitinii
Leo hapana panga siku nyingine hajisikii vizuurwe lala tu me nataka kuonana nae nitakaa nae sehemu
nataka kuonana nae leo nataka kwenda nae bakulutuLeo hapana panga siku nyingine hajisikii vizuur
Usijifanye unamjuaa sana mpaka kinywajii akipendachooPoa kabisa shemela wa mimi
Weekend imeendaje
Kama kawaida Heineken kwa sana au
Nashukuru kunisalimia aunt, asante kunijulia hali pia. Nimepona tangu fitina zako zilipompoteza njia BH akashindwa kufika kunijulia hali. Uendelee hivyo hivyo.
Uko salama lakini?

Leo hapana mama D nitakaa nae make ana mawazo mengi hajapona vizurnataka kuonana nae leo nataka kwenda nae bakulutu
Pole sana Obe, maombi ya mama mchungaji hayo
we si kila siku upo nae me nataka kuonana nae kila kitu nitagharamia mimiLeo hapana mama D nitakaa nae make ana mawazo mengi hajapona vizur
pole binamu jamaan binadamu watu wabaya sana hivi kwa nini mlimfitini mama mchuchu kwa binamu yangu wasamehe tu binamuYes aliniombea, nashukuru sana
Ila kupona kwangu mapema ni kutokana na fitina nilizopigwa pale 'ndugu' zangu waliposikia BH anakuja kunipa pole. Maneno yaliyotolewa hata ungekuwa wewe ungepona tu. Yaani nilisemwa kuzidi makinikia yanavyosemwa wiki hii. Anyway, hakuja na ninaimani waliko huko wamefurahi