Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Nimekuhamu shem waneKwema tu
Nimekuhamu shem waneKwema tu
Pole sana mtaasisiNimeshapona tena vizuri kabisa. Usicheze na maneno ya wafitini waliyonitolea jana. Maneno yao yamekuwa tiba tosha kabisa. Haujambo
Binamu hivi me naanzaje kukufitini pamoja na yote haunipendi lakini me nakupenda tu binamu yangu namshkuru Mungu me mzima hofu kwako nataka kuja kukuona binamu
Una lengo la kuwapanga?Mafiga matatu
Mwanao niko poa tuNyagei niaje mwanangu
Ngoja niangalie upepoTulia utauelewaa mkuu
aiseee khaaa nimecheka kwa nguvuUnajua siwezi kukuchukia aunt yangu maana ndo mnaniwekaga hapa mjini. Hata kwa hizi fitna za jana, nimeshasahau maana sina nguvu ya kulia kwa BH kuahirishishwa safari.
Usije, leo siko mjini, nimetekwa
sawa binamu me nilitaka nije nikuone tutoke mara moja nikununulie safari lager zako basiPole sana mtaasisi
....pm ndo wapi?ebu ukuje pm kidogo tu dada
Mamaaa pedesheeee mutu ya binamuuuwe si kila siku upo nae me nataka kuonana nae kila kitu nitagharamia mimi
pole binamu jamaan binadamu watu wabaya sana hivi kwa nini mlimfitini mama mchuchu kwa binamu yangu wasamehe tu binamu

hivi huyu wa shanga 700 binamu bado unae
hahahha hushindwi kusema we kila siku ni wa mwisho kujua ila binamu wewe....pm ndo wapi?
aiseee shem nyagei huyu hashindwi kukuharibia na kuhusu linamo umejuaje kumbe unasomaga kimya kimya binamuNenda zako huko, wewe jina lako ndo la kwanza kabisa kwa mlionifitni jana, na nimeliwekea nyota tano. Yaani mtaasisi, ni suala la muda tu, tusilaumiane. Fitna zako za jana etii unajitolea kusindikiza? Kwani wewe ni msalaba mwekundu? Au ni mkabili majanga au ni mkuu wa mkoa?
Natafuta mafaili yako kitaasisi hapa siku Linamo akija tu nayafungulia kama bomba mvua

muke ya pedeshee lee mutu ya peremende ukiwa nazo tumia tuuMamaaa pedesheeee mutu ya binamuuu
pole binamu jamaan binadamu watu wabaya sana hivi kwa nini mlimfitini mama mchuchu kwa binamu yangu wasamehe tu binamu
vipi tena Baba D au nimekosea kuwaombea msamaha hao wafitini
hivi shanga 700 zinakaje kiunoni binamu acha kutulisha matango pori...namuachaje sasa yaani? yaani unaanzajeanzaje yaani?
Unataka niwe na yule mwenye kiuno kisafi kama kiwanja cha shule, kiuno lazima kichafuke.
hahahha hushindwi kusema we kila ni wa mwisho kujua ila binamu wewe
Pitia page ya kwanzaNgoja niangalie upepo