Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nenda zako huko, wewe jina lako ndo la kwanza kabisa kwa mlionifitni jana, na nimeliwekea nyota tano. Yaani mtaasisi, ni suala la muda tu, tusilaumiane. Fitna zako za jana etii unajitolea kusindikiza? Kwani wewe ni msalaba mwekundu? Au ni mkabili majanga au ni mkuu wa mkoa?

Natafuta mafaili yako kitaasisi hapa siku Linamo akija tu nayafungulia kama bomba mvua
Aisee duh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom