Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
SijaonaKashanijibu
hapana aisee shanga 700 za nini mtu avae mbili au moja si mauchafu hayo...kama huamini sikulazimisha na tena kuna siku zilikatika, akaanza kuuokota ule utunda mmoja mmoja. Hiyo ilikuwa siku bora sana kwangu
Afande shededeWakuu habar za saivi???
Baba D hizo zote za nini hivyoHiyo code huwez kuelewaaa
Lakin na wewe 30-40 siiii etiii
Usijifanyee hujuii ..wewe si ndo umemuwekea D tomm na jerry kwenye pc
![]()
binamu kinachokuchesha me kuwaombea msamaha au wasamehe tu binamu yangu kosa ni kurudia kosa
hahahha yetu machoYetu macho
niwe na mood ya kumtoa hiyo j5Utamtoaa j5
mimi Baba D kweliiii hivi naanzaje jamaanWewe jee
na safari lagerYeye anakunywa balimi
Unatonesha kidondaSwalamaaaaaa mchawi wa sumbawanga
Da,hadi hurumaaaaaYes aliniombea, nashukuru sana
Ila kupona kwangu mapema ni kutokana na fitina nilizopigwa pale 'ndugu' zangu waliposikia BH anakuja kunipa pole. Maneno yaliyotolewa hata ungekuwa wewe ungepona tu. Yaani nilisemwa kuzidi makinikia yanavyosemwa wiki hii. Anyway, hakuja na ninaimani waliko huko wamefurahi
sawaNaniiiii
tunajua ni kweli binamu hongereni sana vidume vya mbegu nyie..Husna beibe unadhani huwa ni story tu, yaani huwa ni za kweli kabisa zimetokea. Kama huamini unaweza kuunda tume hata ya kina profesa Bhana
Hakuna kulala