shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Wazima kabisa shemeji, za mbeyaWazima humu ndani?
Wazima kabisa shemeji, za mbeyaWazima humu ndani?
Niko poa shemeji, mgonjwa anaendeleajeShemeji mzima?
uzima wa kuchebaWazima humu ndani?
Da inaweza ikaw kweli hiyooAsante balozi kwa hii make ni zaidi ya chemsha bongo
Mawazo yangu ....
Hii picha ina connections na watu watatu amabao wanaweza kuwakilisha taasisi zaidi ya moja ...
Nianze na mtu wa mwisho amabaye ndo kavaa mask naweza kumuterm mharifu lakini nyuma yake kuna askari yawezekana huyu jamaa kiburi anakipata kutoka kwa wa nyuma wake ambaye na huyo askari kinamna moja anapokea order kwa kibosilee...
Summary mtu anafanya kitu kulingana na connection aliyonayo ...
Ata hiyo ??Duuuu mi sijaambua kitu kwenye hizo jamani loh!
Asantee za leo ngumu kumezaa kabisa ila ngoja tutoanee tongotongo ...
Hii kama bint anajilazimisha kujitwisha mzigo hasioweza make kamwili kadogo ila matiti kayatunisha nimerefer sisi tunavyotuna kukabiliana na hali fulan

Bhinamu natambua uwepo wako .heshima kwako hope waendelea vizuri
Nafikiri jana umejionea yupi mtu mwema kwako ...sio kwa fitina zile ila tulizishindaa
Partially. ..ukiona umependwa ujue kuna boya/maboya katendwa/wametendwa
Juu kama anathamini ila chini anasema potelea mbali

Sema vizuriMimi ni Wa mimi
Duuuu mi sijaambua kitu kwenye hizo jamani loh!
Nimewazaaa
Upo mkuuNyagei niaje mwanangu
Pamoja sana Dada husna muba

Njema sana, sijui weweNashukuru mkuu habari za weekend
...anko wewe acha yaani ni wewe ndo ndugu yangu pekee unayeweza kunitetea (japo kuna masuala huwa unaniponda sana, kumbuka siku ile kwa kina Ashura).
Leo nafuata ushauri wako, nimetulia nyumbani kama ulivyoshauri nacheza na hiki kiharamia kidogo kinachoniita baba nawewe kinakuita babu

Hao vidume kwenye mzani wa chini pia wanaweza kuwakilishi mahawara/vidumu
Yaani usijione unapendwa ukafikiri upo peke yako kumbe kuna wenzako nao wanakula
Wewe ni kama ndoo inayobebwa kichwani ila pia kuna vidumu
.....
kumbe nilipatia kusema "mafiga matatu"Mi sijambo mpendwa wanguNimeshapona tena vizuri kabisa. Usicheze na maneno ya wafitini waliyonitolea jana. Maneno yao yamekuwa tiba tosha kabisa. Haujambo

Binamu unanijua mm kwenye ukweli sipindishiii kwa kweli kwa ishu ya Ashura nilitakiwa nifanye hivo ...unajua kwa nn nilifanya hivo make Jamila asingenilinielewaa......anko wewe acha yaani ni wewe ndo ndugu yangu pekee unayeweza kunitetea (japo kuna masuala huwa unaniponda sana, kumbuka siku ile kwa kina Ashura).
Leo nafuata ushauri wako, nimetulia nyumbani kama ulivyoshauri nacheza na hiki kiharamia kidogo kinachoniita baba nawewe kinakuita babu
YesYourself ukimanishaa