Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Kwelii kabisaCheka uongeze siku zako
Ila leo najitahid kuzidishawe unajali kila siku Baba D sio leo tu![]()
Kiukweli nashukiru kupata mke mremboo muzuuuriiiihongera sana Baba D
Kwan shuny wamuonaje![]()
![]()
![]()
hongera zako
MndaliAmen
KwemaaKwema wotee ??
Waaaaoooooh
ushauri mzuri sana aufanyie kazisijakosea kukuchagua Baba D
ila mwisho ulivyomalizia nimejikuta nacheka tu hata sijui kwa nini

AmeeeeniiiHAPPY FATHERS DAY KWENU WOTE MUNGU AWABARIKI
Hujaquote? ?Baba D asante kwa story jana kidogo nilikuwa sijaielewa ila leo naenda sawa ubarikiwe sana
Nzuri shemela wa mimi, za nyumbani na D hajambo?shemela wangu mie za wewe
Ipomke mwee hivi story imewekwa niendelee kupanda au
Niko poa kabisa my swiNko poa cjui ww
Karibu mkuuKwemaa
Nimetupia tangu asubuiVpi ushaweka ile ktu kule mahali
Ahsante mama mchungajiPole na TANESCO nadhani ni tatizo kubwq huku kwetu sijui kama wametuacha salama ni kuzima na kuwasha mara umeme kuwa mdogooo na kurudi ghafla tena...tuombe uwe umetulia sasa.
RIP Chiku na mtoto so sad mama na mtoto kupotea pamoja tena kwenye hospitali kongwe hadi uzazi unakuwa tishio kwa wanaotafuta watoto..Mungu awatie nguvu na kuwapa faraja Mzee Yusuph, ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba huu mzito .
Asante kwa ratiba na mambo ya michezo mkuu Nyagei kazi yako ni njema ubarikiwe![]()
Tuko pamojaWakuu kumekucha ...natanguliza samahan kwan kuna emergency ilitokea wakat namalizia 10 za #kapuku_updates nikashindwa kumalizia ......soon simulizi na UF