Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Cheka uongeze siku zako[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cheka uongeze siku zako[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hunioni ila tunaonanaaaNakuonaaa
[emoji106]Nipo mm
[emoji1] [emoji1][emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji1] [emoji1]mutu ya batoto barembo! kwenye ubora
YeahKwa raha zako
we unajali kila siku Baba D sio leo tu [emoji8]Kweliii na mm leo ata nimzungushe D kwenye Bembea ajue baba anajaliii
hongera sana Baba DNiko hapa mutu ya peremende muntu ya barembo haswaaaaaa bazuriiiii
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hongera zakoNiko hapa mutu ya peremende muntu ya barembo haswaaaaaa bazuriiiii
Chanteeepoyee
[emoji257] [emoji259] [emoji255] [emoji257] [emoji7] [emoji8]Mutu mme ya mrembo shuny ...milioni si pesaaa
ThanksMimi Niko mahome karibuni sana Arusha nasubiria cha mchana hapa
ushauri mzuri sana aufanyie kazi [emoji122] sijakosea kukuchagua Baba D [emoji8] ila mwisho ulivyomalizia nimejikuta nacheka tu hata sijui kwa niniOngera sana kwa kumaliza chuo ila ushauri wangu unaweza kuufata au ukasoma ukapotezea
Vijana wengi mnamaliza chuo mkiwa na matumaini ya kuajiriwa moja kwa moja hasa kwenye professionals zenu ni jambo zuri na ni baya pia ...make kiakili hujipambanui na uhalisia wa maisha ...maisha ya chuo ni maisha mazuri ila ni maisha yanayodanganya wengi na pale mnapoagana kila mtu akaenda kivyake muhimu kwa sasa mtabaki kujuliana hali kwenye magroup yenu ya whatsapp ...
Yawezekana wewe uko interested sana na ulichokisomea bhasi fanya hivi kuna kitu muhimu siku hizi vijana mnakikwepa ila ni suluhisho ...KUJITOLEA KATIKA ENEO HUSIKA ...mfano nenda kituo unachopenda we omba kutolea ata usafi mle ndani na kusaidia saidia kazi ndogondogo utaona mwisho wake ...hapa usiwaze pesa kwanza
mimi mfano ninao hai kipindi najifunza umakanika enzi zile niliteseka ila mpaka sasa ni fundi mzuri usiulize fundi wa nini na nakumbuka mdogo wangu alitaka kufanya kazi saloon nikamshauri awe anashinda saloon na kukubali kutumwa na kufagia kwa sasa anamiliki barber shop kubwa mjini
Kupanga ni kichagua mkuu
shikamoo mama yanguHBD Fabio Capello
shemela wangu mie za weweAsante mama watoto wangu, uko poa lakini
mke mwee hivi story imewekwa niendelee kupanda auShukrani baba watoto uwe na jumapili njema pia
[emoji780]Nipo mm
HAPPY FATHERS DAY KWENU WOTE MUNGU AWABARIKILeo mda muafaka wa kushinda na watoto wetu kwa upendo na furaha zaidi ...ata ambao hatushindi makwetu leo tujitahid....siku yetu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mutu mme ya mrembo shuny ...milioni si pesaaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] haya weeeMutu mme ya mrembo shuny ...milioni si pesaaa