Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
yaan Baba D wewe umefurahiiii mwenyewe
yaan Baba D wewe umefurahiiii mwenyewe
Waaaaoooooh

hahahhhhKiukweli nashukiru kupata mke mremboo muzuuuriiii
kama nawaonaIla leo najitahid kuzidisha
Baba D jamaan naanzaje ili tuanze kubembelezana hapa kuhusu kuweka story

Nayatamanii
Kweli bhanaaaahahahhhh
kukubembeleza wewe ni sheeda aisee me sitaki yajirudie
sakayo yupo mbona labda humu tu hajaingiaNimemnasa Transcend na sakayo wake....![]()
Mlikuwa mnaboaakukubembeleza wewe ni sheeda aisee me sitaki yajirudie
mwaaaah mwaaaah

Ndo nimewapata leo wako mtokosakayo yupo mbona labda humu tu hajaingia
basi baba yameisha usikumbushie basiMlikuwa mnaboaa
Unachekaa ukifikir mazur hayo..
sio mazuri hata me sipendi Baba DUnachekaa ukifikir mazur hayo..