Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Hongera na asanteMimi Niko mahome karibuni sana Arusha nasubiria cha mchana hapa
Nko poa cjui wwAsante mama watoto wangu, uko poa lakini
Mungu akutie nguvuAsante kwa ushauri niatafanya hivyo kujitolex kwanza
[emoji120] na kwako pia mama[emoji524] ZABURI 133
1 Tazama ulivyo vema na kupendeza Ndugu wakae pamoja kwa umoja
2 Ni kama mafuta mazuri kichwani Yashukayo ndevuni ndevu za Haruni Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake
3 Kama umande wa Hermoni ushukao milimani pa Sayuni maana ndiko BWANA aliko amuru Baraka Naam uzima hata milele
[emoji523] Kupitia wimbo huu wa mfalme Daudi, tunakumbushwa kuwa na UMOJA katika maisha ya kila siku katika familia jamii na taifa MUNGU anapendezwa na UMOJA kama alivyodhihirisha katika UTATU wake wa BABA MWANA NA ROHO MTAKATIFU
[emoji120] MUNGU BABA asante kutuamsha tena asante kwa NENO "UMOJA"wewe uliye asili ya mema yote utupe huo UMOJA na UPENDO maishani mwetu utuimarishe kila mmoja kwa mwenzake katika familia na jirani zetu na hata taifa letu kipekee ulibariki kundi hili la MAKAPUKU lidumu katika kujifunza bariki kazi za mikono yetu biashara na wanaotutazama wauone Ukuu wako wapate kukutukuza katika jina la Yesu Kristo Amen Asante[emoji120]
NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA IBADA NJEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
Marahaba mwanangu wa Lee za uzima zaibada za jumapili ubarikiwe mwanangu Love you sanaaaa[emoji7] [emoji7]shikamoo mama yangu
Vpi ushaweka ile ktu kule mahali[emoji1] [emoji1]
Mke mweee mambowe unajali kila siku Baba D sio leo tu [emoji8]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]hongera sana Baba D
[emoji122] [emoji122] [emoji122][emoji257] [emoji259] [emoji255] [emoji257] [emoji7] [emoji8]
Imewekwa mama we endlea tumke mwee hivi story imewekwa niendelee kupanda au
Nzuri sana Mama yangu ubarikiwe sana na wewe Love u moree moree [emoji253] [emoji7]Marahaba mwanangu wa Lee za uzima zaibada za jumapili ubarikiwe mwanangu Love you sanaaaa[emoji7] [emoji7]
poa mke mwee za weweMke mweee mambo
acha nimpe hongera Baba watoto mke mwee[emoji3] [emoji3] [emoji3]
mmh[emoji122] [emoji122] [emoji122]
nimeshasoma mke mweeImewekwa mama we endlea tu
Nko poapoa mke mwee za wewe
[emoji120] [emoji120] [emoji7] [emoji7]Nzuri sana Mama yangu ubarikiwe sana na wewe Love u moree moree [emoji253] [emoji7]
Happy Father's Day Baba DLeo mda muafaka wa kushinda na watoto wetu kwa upendo na furaha zaidi ...ata ambao hatushindi makwetu leo tujitahid....siku yetu