Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
NalalaHamkeni humu
NalalaHamkeni humu
UsilaleNalala
***Hamkeni humu
Amkeni....Ni utani na ucheshi tu Mama Mchungaji. Nothing serious!Inategemea na maisha unayoishi
Kweli mkuu naelewa SHIMBA YA BUYENZE ndiyo maana ya maisha na uwepo wetu ,huwa nafurahia post zako zinafundisha sana hapa ubarikiwe sanaNi utani na ucheshi tu Mama Mchungaji. Nothing serious!
Pole na TANESCO nadhani ni tatizo kubwq huku kwetu sijui kama wametuacha salama ni kuzima na kuwasha mara umeme kuwa mdogooo na kurudi ghafla tena...tuombe uwe umetulia sasa.Jana nilipenda nishinde nanyi ila TANESCO walinipenda zaidi nikashindwa kuleta madini mujarabu.
Walibana wakaachia na sasa nipo nanyi tena kuendeleza kile kilichokusudiwa.
Awali ya yote natoa pole kwa familia ya mwimbaji wa taarabu mzee Yusuf kwa kumpoteza mkewe bi Chiku usiku huu Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi![]()
Tutaangalia matokeo ya mechi za jana pia na kuwafahamu wachezaji walioachwa na timu zao, waliosajiliwa na waliotolewa kwa mkopo kwa timu zote za ligi kuu Uingereza.
