Mwanzo ni Mwisho
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,394
- 10,836
mkuu asante kwa HistoriaLeo katika Historia:
Niwatakie jumapili njema.
mkuu asante kwa HistoriaLeo katika Historia:
Niwatakie jumapili njema.
Huu ni ujumbe wa jumapiliLeo mda muafaka wa kushinda na watoto wetu kwa upendo na furaha zaidi ...ata ambao hatushindi makwetu leo tujitahid....siku yetu
Niko hapa mutu ya peremende muntu ya barembo haswaaaaaa bazuriiiiimutu ya batoto barembo! kwenye ubora
poyeeNiko alone here
Kweliii na mm leo ata nimzungushe D kwenye Bembea ajue baba anajaliiiHuu ni ujumbe wa jumapili
Usikate tamaaAsante kwa ushauri niatafanya hivyo kujitolex kwanza
uzi gani huo tishioNiaje ? kuna Uzi ni tishio huko loh!
Kwema mkuuMimi Niko mahome karibuni sana Arusha nasubiria cha mchana hapa
Nasikia wakongwe ndio wameuanzisha kutwa kucha ni makapuku forumNiaje ? kuna Uzi ni tishio huko loh!
Sisi hatushindani kupata likes lakiniNasikia wakongwe ndio wameuanzisha kutwa kucha ni makapuku forum
Hawataweza
Wameona likes zimepungua sasa wanajipa moyo
peace and love!Sisi hatushindani kupata likes lakini
Wa likes yaan ni shida siku mbili uko na posts more than 16kuzi gani huo tishio
Ongera zao ...Wa likes yaan ni shida siku mbili uko na posts more than 16k
Sana tu namshukuru alieumba mbingu n'a duniaKwema mkuu
Mkuu vepee naona hayo unataka kufanana na joverest