NUKUU YA LEO.
The united states has to have the capability to deal with more than one enemy at one time and be able to confront them and win.
Marekani inatakiwa kuwa na uwezo wa kupambana na adui zaidi ya mmoja wa wakati mmoja na kukabiliana nao hadi awashinde.
Haya maneno yaliwahi kutamkwa na mwanasheria,mwanajeshi, jasusi na mkurugenzi wa zamani wa CIA Bw. Leon Edward Panetta. Leon mwenye asili ya kiitaliano alizaliwa tar.june 28 1938 katika jiji la carlifornia na wakimbizi wa kiitaliano.
Leon alisoma shule za catholic na baadaye alisomea digrii ya sayansi katika siasa, (political science) na baadaye Alipata digrii ya sheria.
Baada ya kutoka chuo kikuu alijiunga rasmi na jeshi la marekani na akawa anafanya kazi kitengo cha intelligence cha jeshi la marekani mwaka 1964 hadi 1966.
Baada ya hapo aliingia kwneye siasa kama mwakilishi wa carlifornia kwenye congress, alideal sana na mambo ya budget ambapo alimsaidia kupenya hadi ikulu ya marekani na kuwa White House Chief of staff wa rais Bill Clinton.
Barack obama akaja kumtea kuwa Director wa CIA mwaka january 5 2009, watu wengi walipiga kelele sana juu ya utenuzi huo wakidai kuwa Panetta hana uwezo na uzoefu wa kazi hiyo mpya aliyopewa.
moja wapo ya watu waliolalamika kwa uteuzi wa Panneta ni Dianne Feinstein seneta wa jimbo la calfornia anakotokea Panetta mwenyewe, huyo mama alikuwa ni mwenyekiti wa kamati ya uteuzi ya senates juu ya mambo yote ya usalama wa taifa la marekani.
Barack obama akamtua Panetta, sasa uliza mangapi yamefanyika chini ya uongozi wa panetta? shut-down ya Al-quida, vita kuuwa vinu vya nyuklia vya Iran, Korea, warheads fake alizouziwa Korea na muingereza?
Kuna kitu alikuwa cha ziada alikuwa nacho Panetta!
Morning Wakuu.