Jana nilipenda nishinde nanyi ila TANESCO walinipenda zaidi nikashindwa kuleta madini mujarabu.
Walibana wakaachia na sasa nipo nanyi tena kuendeleza kile kilichokusudiwa.
Awali ya yote natoa pole kwa familia ya mwimbaji wa taarabu mzee Yusuf kwa kumpoteza mkewe bi Chiku usiku huu Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi
Tutaangalia matokeo ya mechi za jana pia na kuwafahamu wachezaji walioachwa na timu zao, waliosajiliwa na waliotolewa kwa mkopo kwa timu zote za ligi kuu Uingereza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.