Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nini mkuu..!

Sometimes huwa unashindwa kunielewa eeh?
Nimekumbuka siku moja nipo bahari kuu zanzibar maeneo ya paje, saa saba mchana naelekea baharini, ile kufika tu nikakutana na mzee mmoja akaniambia kijana unafuata nini huku,

Nikamjibu nimekuja kutembea tu, akaniambia rudi haraka sana haya maeneo sio mazuri kwako nakuona uko mweupe mpaka matakoni, watakumaliza wewe

Nilirudi kwa speed sana, maana yake mimi sikuwa hata na chale yoyote ile

Baharini ni baharini mkuu
Next week nitakuwa kizimkazi kwenye dorofini
 
MITHALI 1

32 Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza

33 Bali kila anisikikizaye atakaa salama Naye atatulia bila kuogopa mabaya

NAWATAKIA USIKU NWEMA MALAIKA WALINZI WAWEKE VITUO KWA NYUMBA ZOTE NA VITANDA VYETU VIZUNGUKWE DAMU YA YESU ITUFUNIKE MLALE SALAMA MBARIKIWE
 
Hii iko hivi;

Jamaa ni mtumiaji wa vilevi ( hasa sigara) kama picha ilivyo.

Mtumiaji wa kilevi anatumia bila kujua athari ambazo zinampata yeye.

Nje ya mwili anaona moshi na anahisi yuko salama ila ndani ya mwili kuna bomu linajitengeneza..

Haina tofauti na zile baruti za kutumia tambi/ yaani explosion inakuwa ipo mahali theni source of fire inatokea mbali...

Hiki ndicho kinachoendele hapa..

I stand to be corrected
Mara nyingi codes hakuna mtu mmoja anayekuwa sahihi kuliko mngine maana ni fumbo kama alivyo binadamu alivyo fumbo kuna sehemu wazi ikiyofichika huru na siri kwa sehemu tatu zinahitaji ushirikishaji mrejesho na uwazi ila ya nne ni hadi Mungu aingilie kati yale mambo ambayo Mungu mwenyewe Ana namna ya kuyafungua na kuyaonesha hutokea ghafla bila kupanga wala kujua yanahitaji dhamiri na imani
 
Nimekumbuka siku moja nipo bahari kuu zanzibar maeneo ya paje, saa saba mchana naelekea baharini, ile kufika tu nikakutana na mzee mmoja akaniambia kijana unafuata nini huku,

Nikamjibu nimekuja kutembea tu, akaniambia rudi haraka sana haya maeneo sio mazuri kwako nakuona uko mweupe mpaka matakoni, watakumaliza wewe

Nilirudi kwa speed sana, maana yake mimi sikuwa hata na chale yoyote ile

Baharini ni baharini mkuu
Next week nitakuwa kizimkazi kwenye dorofini
Natumai sasa sio mweupe tena

Ulale salama mkuu
 
MITHALI 1

32 Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza

33 Bali kila anisikikizaye atakaa salama Naye atatulia bila kuogopa mabaya

NAWATAKIA USIKU NWEMA MALAIKA WALINZI WAWEKE VITUO KWA NYUMBA ZOTE NA VITANDA VYETU VIZUNGUKWE DAMU YA YESU ITUFUNIKE MLALE SALAMA MBARIKIWE
Amen
 
aa4797284a5556a06c4b0c4e60ba5125.jpg
Hahahaha
 
MITHALI 1

32 Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza

33 Bali kila anisikikizaye atakaa salama Naye atatulia bila kuogopa mabaya

NAWATAKIA USIKU NWEMA MALAIKA WALINZI WAWEKE VITUO KWA NYUMBA ZOTE NA VITANDA VYETU VIZUNGUKWE DAMU YA YESU ITUFUNIKE MLALE SALAMA MBARIKIWE
Amen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom