Mwacheee atatukomaaa...acha zako, mimi sijapona sema nimekataa wewe usiambatane na BH kuja kuniona. Na nimewatangazia ndugu zangu kuwa umeniroga, sasa ni juu yako kuongozana naye au kukumbana na ndugu zangu wenye hasira kali za mfungo
Sifa Shukurani Heshima Utukufu ni kwa BABA aliyejuu mbinguni kwa uponyajiNdaga dada
Anaendelea vizur nadhani Leo ataenda kazini
Pamoja kiongoziSalama kabisa
Poa mkuuWe acha tu
Kweli kabisa nimesoma mpaka nikasinzia nikasahau ni hadithi ndefu yaani mnisamehe kwa uzembe huu uzee huu sasa
Usiofu mamaKweli kabisa nimesoma mpaka nikasinzia nikasahau ni hadithi ndefu yaani mnisamehe kwa uzembe huu uzee huu sasa
Kwema mdauHabari za jumamosi
AmenSifa Shukurani Heshima Utukufu ni kwa BABA aliyejuu mbinguni kwa uponyaji
KwemaaaVP humu
Natupia nukuu muda su mrefuAmepitiwa
KwemaaWakuu mambo niaje