Makapuku Forum

Kweli unachokisema ila nyongeza / maana nyingine

Kwa dunia ya sasa haina 'siri' ujaweza ukaona unafanya kitu peeke yako hoping hawakuoni kumbbe unaonwa haswa na wengi

Note
1.naked girl =siri
2 . smart phone= utandawazi /usiri
3.camera =tena imeoneshwa kama jicho ...ina maana haswa
 
Komredi kipepe,mzee meko(mshambuliaji hatri) na lodi lofa wengine nimewasAhau


Ha ahahahahah, umenikumbusha kitu kilichokuwa kikinifanya kumsaidia dada mmoja kazi za bustani ili tu niweze kusoma gazeti la sani miaka hiyo. Mmoja wa wachezaji hapo ni Mapung'o, Mundu, kobelo na Chepe

Lodilofa alikuwa ni kiungo wa borntown sawa na kina Pimbi, bob mazishi
 

.
.
.
Mwisho
.......
Hapa jamaa anaelekea ana kazi nyingi na ametumia nguvu nyingi kufanya hizo kazi..

Ukaangalia utaona makaratasi mengi mezani kwake.

Ana sticky note kibao hapo ubaoni, mara nyingi sticky note huwa ni kazi amabazo hazifanyiwa kazi so unaweza kuona ni kazi ngapi ziko pending hapo..

Mwili na nguo za jamaa vimezoofu sana, manake yuko exhausted..

Ndio maaana kichwa kinaonekana kuchomekwa kwenye chaji kwa ajili ya ku-rejuvanate power ya mwili...baada ya mwili kudhoofu kwa kazi kubwa mwili unahitaji nguvu ingine..


I stand to be corrected..!
 
Amina. Asante mama mtumishi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…