shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Ngoja tuonewanamtamani ila hawana uwezo wa kuvunja mkataba wa Ajibu pale Simba
Ngoja tuonewanamtamani ila hawana uwezo wa kuvunja mkataba wa Ajibu pale Simba
Jamani ana mwenyewe huyo,ambaye ni Leeongeza Dau maana kuna watu tuna plan kumpa heka 2000
Kwan mshahara wangu unajua sh ngp kapukuongeza Dau maana kuna watu tuna plan kumpa heka 2000
Mimi najijua naumwa malaria na vipimo vimesema hivyo, dokta ananiambia nile vizuri nipumzike na nifuate ushauri. Sasa najiuliza hii ni malaria tu au dokta hana vyeti? hebu hata wewe mpendwa wangu niambie

Binamu anapanga kuja kukuona mama mchuchu naona dawa yako sasa inaanzaa kukoleaa

Wale ni wa mawioMkuu ndio magazeti yetu, tufanyeje sasa? Tuamini tunachoona au tunachosikia? Labda Mwakyembe haya huwa hayamuhusu
Mimi sisemiiJamani ana mwenyewe huyo,ambaye ni Lee
Rodirofa, mzee mecco![]()
Tuwatambuee hawa majamaa ...najua wengi tunamjua Madenge tu ila sio mbaya tukajikumbushaa ...nani alifatilia soka la hawa jamaa ...la kuandikwa ila mashabiki lukukii
Sina maana hiyoo
Usiposema watakuporaMimi sisemii
Serious Obe! Pole sana nakuombea nitakujaSeriously! Nakutumia anuani uje na maua na fanta orange, usisahau na kuku wa kuchemshwa pilipili kidogo na vocha
SN: Niko poa kwa sasa
Umeanza, sasa zile zamu huwa ni za nini?Jiongeze mkuu dokta wa usiku
Ndumkafu kaka pole na mgonjwa vipi hali yake poleniAmen ubarikiwe
Ulimkafu dada?
Bado nane mkuu huo ndio uhakika.
Umefunga zote?
Vipapaiii jeeUsiposema watakupora
Hahahaha LeeAende peke yakee
Ukiona mtu anahesabu bila kukosea jua huyo kama kafunga basi kafunga hizi, tatu tu

Kwa hiyo niwakumbushe rodirofa au kipepe ?Rodirofa, mzee mecco
NdioooHahahaha Lee