na Dada mnacheza kwaitoNimerudi mkuu..
Otea nilikuwa na nani?
Mm nn?!Ila wewe
mke mwee za weweShemela asante kwa hadithi![]()
![]()
![]()
nimefunga Bitoz mda sanaKwani kweli umefunga PM?
Au kuna pipo zilikukorofisha
......
kweli Baba DAliifungaa baada kupata mme
sina shida ya malike mie kuna wafaa nyieSijakuona kwenye ma-like ya kumwaga hukooo
WARUMI 8
31 Basi tuseme nini juu ya hayo MUNGU akiwa upande wetu ni nani atakuwa juu yetu?
32 Yeye asiyemwachilia Mwana wake mwenyewe bali alimtoa kwa ajili yetu sisi sote. Atakosaje kutukirimia mambo yote pamoja naye
33 Ni nani atakayewashitaki wateule wa MUNGU? MUNGU ndiye mwenye kuwahesabia haki
34 Ni nani. atakaye wahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa naam; na zaidi ya hayo amefufuka katika wafu yuko mkono wa kuume wa MUNGU tena ndiye anayetuombea
35Ni nani atakaye tutenga na upendo wa Kristo? Je! Ni dhiki au shida, au adha, au njaa, au uchi, au hatari, au upanga?
36 Kama ilivyoandikwa, ya kwamba, kwa ajili yako tunauawa mchana kutwa, na tumehesabiwa kuwa kama kondoo wa kuchinjwa
37 Lakini katika mambo yote hayo tunashinda, zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda
38 Wala yaliyo juu wala yaliyo chini wala kiumbe kinginecho chote hakitaweza kututenganisha na upendo wa MUNGU Ulio katika Kristo Yesu Bwana wetu
MUNGU ANATUPENDA SANA NDIO MAANA TUPO MPAKA MUDA HUU HAKUNA CHA KUTUTENGANISHA NAE TUKAZE MWENDO TUMSHUKURU TUMPENDE ANATUPA KUSHINDA
KILA WAKATI. MBARIKIWE MCHANA MWEMA
![]()
![]()

WAFILIPI 4
MUWE NA JIONI NJEMA MBARIKIWE

Ndoo maana mm kiroho safi napachika picha tu![]()
![]()
![]()
![]()
mmhNyota yako ichunguze vizuri
halaf wala hajanipatia pm hivi ulijibiwaje shemelaKwani ulimpatia pm?
WAFILIPI 4
1 Basi ndugu zangu, wapendwa wangu, ninawaonea shauku, furaha yangu, na taji yangu, hivyo simameni imara katika BWANA, wapenzi wangu.
4 Furahini katika BWANA siku zote tena nasema furahini
5 Upole wenu na ujulikane na watu wote BWANA yu karibu
6 Msijisumbue kwa neno lolote, bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru haja zenu na zijulikane na MUNGU
7 Na amani ipitayo akili zote itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu
MUWE NA JIONI NJEMA MBARIKIWE
![]()
![]()
Kweli mdau
Kutaniani,kubebishana muhimu ila mtu akishusha kitu cha mulisha ubongo afanye kweli
Sio km Shedele alivyotuzuga
![]()
![]()
![]()
......
