Makapuku Forum

Makapuku Forum

3328539231fdd436a6acac257da7047e.jpg
Aisee haaaaahaaaa
 
Nisaidie kama unaweza mkuu. Hii siyo UF eti unachukua picha na kuposti. Nina mavitabu manne hapa ya reference na maneno mengi kwa Kiswahili hayapo. Nitatimiza ahadi yangu na actually nafikiria pengine niandae post kama 5 ziwe ready kwanza ndo tuende sawa. Isitoshe sina uhakika kama zitapata wasomaji makini hapa ambapo tumezoea kutaniana tu...
Sijakupata mwishoni...but anyway let's wait
 
WARUMI 8

31 Basi tuseme nini juu ya hayo MUNGU akiwa upande wetu ni nani atakuwa juu yetu?

32 Yeye asiyemwachilia Mwana wake mwenyewe bali alimtoa kwa ajili yetu sisi sote. Atakosaje kutukirimia mambo yote pamoja naye

33 Ni nani atakayewashitaki wateule wa MUNGU? MUNGU ndiye mwenye kuwahesabia haki

34 Ni nani. atakaye wahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa naam; na zaidi ya hayo amefufuka katika wafu yuko mkono wa kuume wa MUNGU tena ndiye anayetuombea

35Ni nani atakaye tutenga na upendo wa Kristo? Je! Ni dhiki au shida, au adha, au njaa, au uchi, au hatari, au upanga?

36 Kama ilivyoandikwa, ya kwamba, kwa ajili yako tunauawa mchana kutwa, na tumehesabiwa kuwa kama kondoo wa kuchinjwa

37 Lakini katika mambo yote hayo tunashinda, zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda

38 Wala yaliyo juu wala yaliyo chini wala kiumbe kinginecho chote hakitaweza kututenganisha na upendo wa MUNGU Ulio katika Kristo Yesu Bwana wetu

MUNGU ANATUPENDA SANA NDIO MAANA TUPO MPAKA MUDA HUU HAKUNA CHA KUTUTENGANISHA NAE TUKAZE MWENDO TUMSHUKURU TUMPENDE ANATUPA KUSHINDA KILA WAKATI. MBARIKIWE MCHANA MWEMA
Asante kwa neno mama mchungaji

Ubarikiwe sana na Bwana wa majeshi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom