Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ni kweli mdau
Mi mwenyewe Did You Know ni rahisi kupost
Ila nikitaka kuleta 10 kubwa huwa najipanga na kijasho hunitoka na kutumia masaa hata 2+ mara chache sifikishi masaa mawili
Na kumsaidia Dikteta pia ngumu balaa

Kuandaa makala ni tofauti na kupiga mastori....unaweka tu hata emoji
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Hataree...

Yaani kama unatupia kitu humu lazima uchimbe kwanza..

Mimi Nukuu huwa inakuwa rahisi kama ni mtu niliyekwisha fanya reasearch yake..

Wengi nimesoma vitabu vyao na Articles zao
 
Back
Top Bottom