Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,402
Dissertation yako ilikuwa juu ya nini mkuu?Daah!
Nakumbuka hii wakati nafanya Dissertation yangu..
Dissertation yako ilikuwa juu ya nini mkuu?Daah!
Nakumbuka hii wakati nafanya Dissertation yangu..
Yupi sasa unayemzimikia husna au aganzaSiyo kweli na haitakaa itokee. Ni uzushi tu wa pedeshee muzee ya totoz huu. Mapenzi na ndoa hizi za mtandaoni 24/7 kujianika ka malimbukeni fulani hivi wengine hatuziwezi.
Ndio hivyoyaan humu ukiwa serious unaweza kufwa siku si zako jamaan mtu humjui hujui yupo vipiiii
Kweli kabisa mama mchungajiNamuombea sana na wote nawaombea tuko kwenye ulimwengu ambao unahitaji maombi sana Mungu atusaidie kuondoa vifungo vya magonjwa umaskini ajali uchawi chuki mafarakano upweke kukosa kazi kukosa uzazi kukosa wenza na mengi ambayo hayaelezeki publicly tuombeane![]()
Mhhuyo naniiiiii
Kwa kwenda mbeleTunasepa na Kijiji
Kesi sasaEeeehh ule uzi wa vibonge ulikuwa kapuku kwani?
Weka picha yakeMfanyakazi shamba
Umepona shemejiHahaha
Nimejikuta nacheka tuu
Ni kweli mdauNisaidie kama unaweza mkuu. Hii siyo UF eti unachukua picha na kuposti. Nina mavitabu manne hapa ya reference na maneno mengi kwa Kiswahili hayapo. Nitatimiza ahadi yangu na actually nafikiria pengine niandae post kama 5 ziwe ready kwanza ndo tuende sawa. Isitoshe sina uhakika kama zitapata wasomaji makini hapa ambapo tumezoea kutaniana tu...
Nyota yako ichunguze vizuriHajanipaaa maua
AiseeCheki majibu ninayopewa niki pm![]()
Atakujulisha tu, au unataka kwenda nayesa ngapi sasa mama unaenda kwa binamu
Ulifanya jambo jema sanasitumii pm mm nilishawambia mods waniondolee
Usikute umeondoka na funguoShunie mfunguliee kwa mda huyu
Aiseehuo mda sinaga
Duh imekuwa hivyo tena![]()
![]()
nyimbo ya mapacha wa3 ikufikie popote ulipo ya kuachwa ukiwa na shedede pembenii woiiiii