Makapuku Forum

Makapuku Forum

Eti tuahindane kupost makorokoro km vilemwxrddg &%$$&%$$ /_/___&$-- au mtu kujisemesha semesha page nzima ili uzi uwe na kasi sijui post nyingi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Likes hukaa kwenye profile lakini maandishi ya mtu hukaa moyoni
Mtu atakupenda,kuchukia kutokana na maandishi siyo maLIKE....kuna kipindi JF kurekebisha server na kulamtu huanza na like 0 (nafikiri unakumbuka)
.......
Hawana jipya hao. Cha msingi tuendeleze kile tunachokiamini Tu.

Tuendeleze kupeana vitu vya kulisha ubongo ili tuongezee maarifa
 
Back
Top Bottom