Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Mwanaume habembelezwagi mkuu..Sitakiii
Unataka nikubembeleze sasa?
Mwanaume habembelezwagi mkuu..Sitakiii
Mpatie tunafanyaje sasa anataka picha yangu na lee
Pamoja mama...Asante tunangoja madini hayoo
Njema mzima za sk barikiwaHabari ya weekend
HaswaaYuko vizuri, Joh Makini anakopi nankupest vitu vingi sana toka kwa Kendrick
Mwambie akupe linkme sijui hata uzi gani jaman
Kweli vileNitaanza kukumbeleza hapa mbele za watu ujue..
Uncle D hukumuonaa??wewe tuma bhana...na ya uncle D
WatanyonganaNampa Jovitha.
Shem darling uko poaa??Shem sweetie
shunie maneno makali hayo hahahahahaiseee hata wewe kumbe unamchekea lee kiunafki Mkushi
Keshapata bhanaMwambie akupe link
Niko Poa shem darling, vipi weweShem darling uko poaa??
Baaaaaasi! Kah..Ndo hivyo tena shem darling
Huwa nina presha
Hakika umenenaHawana jipya hao. Cha msingi tuendeleze kile tunachokiamini Tu.
Tuendeleze kupeana vitu vya kulisha ubongo ili tuongezee maarifa
Nishampa link mkuuMwambie akupe link