Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
HahahaAaah! Tena kuna jamaa kasema "" mlivyo wahuni mmenza kuchat pia kwenye huu uzi wq warning"![]()
Yule mchochezi tuu bhana, tatizo hana rafiki
HahahaAaah! Tena kuna jamaa kasema "" mlivyo wahuni mmenza kuchat pia kwenye huu uzi wq warning"![]()
Wanasema msiitane..mmh ngoja nikautafute kafanyaje tena
Shem sweetieWanguu
![]()
![]()
![]()
hajalala kwa nini mlikuwa lindo wote jana me nimelala mbona alikuwa hayupo na nilikua na hamu ya kukesha

Ila weweAfu wewe ndio unacomplicate bhana..
Fungua pm kwa dakika 10 tuu...! Zinatutosha...![]()
Sitakiiisasa nimebadili simu mda si mrefu sina picha hata moja ngoja Baba D akirudi akikubali nipige nae picha na akiniruhusu kukutumia nitakutimiapo pm sawa shemela
Huna macho na wewe...huo si uliwekwa kipindi kile mpaka watu wakala ban mbona nimetoka mmu sijaona uzi wowote wa shangazi na chit chat pia
Nimefanyaje mkuu?Nakuonaaaa
Kama nakuonaaaMuwe na mchana mwema...
Naona hapa hapanifai tena
NzuriiiiHabari ya weekend
Jadi yetu hiyo mkuu...Hawana jipya hao. Cha msingi tuendeleze kile tunachokiamini Tu.
Tuendeleze kupeana vitu vya kulisha ubongo ili tuongezee maarifa
Nitaanza kukumbeleza hapa mbele za watu ujue..Akuuu
Asante tunangoja madini hayooNext week nitaweka muendelezo wake hapa pia..
Leon Panetta...
Kuna kitabu chake kinaitwa Worth Fights nimeanza kukisoma juzi...
Ni kizuri sana kama uko interested namna serikali na intelligence community zinavyofanya kazi...
Ahsante na kwako piaLeo Katika Historia:
Niwatakie wikiend njema.
Nampa Jovitha.Hahaha
Yule mchochezi tuu bhana, tatizo hana rafiki
Hawana jipya hao. Cha msingi tuendeleze kile tunachokiamini Tu.
Tuendeleze kupeana vitu vya kulisha ubongo ili tuongezee maarifa

Hahaaa! Mruhusu basi mkuu..Ila wewe
Nzuri kabisa za chugaHabari ya weekend