Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji1]Uzuri wa msukuma huwa hakati kona wa kukopesha, yeye ananyoosha moja kwa moja na cash juu
[emoji1]Uzuri wa msukuma huwa hakati kona wa kukopesha, yeye ananyoosha moja kwa moja na cash juu
Hahahahaha i see him ,hw can fly may be
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji736]
Anaitwa nguvaMermaid anaitwaje kwa Kiswahili?![]()
Apartheid Policy ya huko ni km vile Makaburu walipandikiza miche ya mibuyu ambapo wakati Sauzi inapewa uhuru ilikuwa sawa na michicha tu sasa hivyo imeendelea kukomaa na kuwa mibuyu kamili....Mpaka leo wanadai mambo hayajabadilika sana hasa kiuchumi. Mweusi bado anateseka japo nchi ni tajiri kweli kweli!
Kusahau kupo sisi binadamu hatujakamilikaasante mama mchuchu kwa kutukumbusha wengi wanajisahau [emoji120]
Njema za uzima?ubarikiweHabari za asubuhi
[emoji736]Shikamoo Baba D
Ni kweliNaipenda sana.
Hali ya weusi ni ngumu,na hata mahusiano,neighbourhood ni ngumu,yaani ikitokea mtu mweusi kabahatika kupata uwezo wabkuishi maeneo weupe wanaishi anapata shida sana...hawaamini na hawako tayari mweusi afanikiwe,afanane nao....maombi ni muhimu hiyo ni roho kamili..ina madhabahu inapaswa ivunjwe...
Amen[emoji7] [emoji7] [emoji7]love u moree my mom [emoji8] Yesu akutunze
Serikali inaendeshwa kwa kodi za pombe na sigara badala ya madini na utaliiMaamuzi ya faid, ambayo huku kwetu hayawezi kufanyika. Sana sana wanategemea kodi za Sigara ili kuendeshea serikali
Kweli mkuu poleAsante mama mchungaji, tatizo hizi simu zetu
Ubarikiwe Sakayobza uzima miss you sana[emoji7] [emoji7]
Poleee anawaza mama tu mwanangu[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji109]Sikuelewiii na unaona mama nimpendae mam D anapiga doria
Hahahahanimecheka sana shikamoo mama yangu kweli mukongo umemshika mama yangu pabaya aisee ni nini umempa lakini mama ake shunie