Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia:

1903 - Kampuni ya Magari ya Ford yaanzishwa.
b8651ea513f4554032b152965e9d1a68.jpg
56d9f6daee3cf180e9fb2677ae633e2a.jpg
Fasta ikaanza kutengeneza magari ya Ford Model A ambapo mwaka huohuo Daktari wa meno kutokaChicago Ernest Pfenning akawa mtu wa kwanza kumiliki hilo gari
......
 
1976 - Soweto Uprising: Wanafunzi 15,000 wanapambana na askari huko Afrika ya Kusini na kusababisha askari hao kuwauua wanafunzi hao kwa risasi.
53554b8cfa1fd022b6351486dc03d586.jpg
71d74c1b8a91d36ebaf806a803c7c062.jpg

Walikuwa wakipinga Apartheid Policy (unyanyasaji waliokuwa wakifanyiwa weusi na weupe/Makaburu)
Mfano ubaguzi wa rangi,Weusi kupewa huduma mbovu huku weupe wakihudumiwafirst class n.k
be7ce46bdf1ad77b669540035c47ca73.jpg
Kila mtu keshawahi kuiona Hii filamu ambayo ni kisa cha kweli kuhusu tukio hilo
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom