shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Ndondo huwa tamu sana kuliko ligi ya tff, sihofii fujoHahahaha ndondo ina uhondo wake aisee.
Unahofia fujo au?
Ndondo huwa tamu sana kuliko ligi ya tff, sihofii fujoHahahaha ndondo ina uhondo wake aisee.
Unahofia fujo au?
Ndondo sijui itaanza liniNdondo huwa tamu sana kuliko ligi ya tff, sihofii fujo
Hiki huwa ni kipindi cha ndondo, kwenye ndondo marefa huwa wana pressure sana na huwa haki bini hakiNdondo sijui itaanza lini
Mpaka leo wanadai mambo hayajabadilika sana hasa kiuchumi. Mweusi bado anateseka japo nchi ni tajiri kweli kweli!![]()
![]()
Walikuwa wakipinga Apartheid Policy (unyanyasaji waliokuwa wakifanyiwa weusi na weupe/Makaburu)
Mfano ubaguzi wa rangi,Weusi kupewa huduma mbovu huku weupe wakihudumiwafirst class n.kKila mtu keshawahi kuiona Hii filamu ambayo ni kisa cha kweli kuhusu tukio hilo![]()
......
Nimekupata mkuu,somo zuriKuna kitengo cha NASA ambacho kazi yake ni kusikiliza sauti ya jua na kuangalia kwa umakini activities zote na hasa miripuko ya solar flares. Kama zikiripuka kwa wingi na makalikyulesheni yao yakaonyesha kuwa solar wind inaweza kuzisafirisha mpaka huku duniani na zina nguvu kiasi kwamba magnetic field ya dunia inaweza kuelemewa, basi wanajiandaa kuzima sattelites zao za kijeshi na ikiwezekana hata mfumo wa umeme (electric grid) ili kuzuia usikaangwe na na hizo solar flares.
Wanasema kajua ketu haka ndo sasa kameingia ujana na baada ya miaka bilioni 4 hivi ijayo katafikia uzee na kataishiwa na mafuta yake (Hydrogen na Helium). Kama Yesu Atakuwa bado hajarudi basi ndo utakuwa mwisho wa dunia na visayari vilivyo karibu karibu hapo. Hellish ending!
Wachezaji wanakuwa wakorofi Sana. Kuna jamaa anaitwa buju ni mkorofi SanaHiki huwa ni kipindi cha ndondo, kwenye ndondo marefa huwa wana pressure sana na huwa haki bini haki
2010 - Bhutan yawa nchi ya kwanza kupinga matumizi ya aina yoyote ya Tumbaku.
Naipenda sana.![]()
![]()
Walikuwa wakipinga Apartheid Policy (unyanyasaji waliokuwa wakifanyiwa weusi na weupe/Makaburu)
Mfano ubaguzi wa rangi,Weusi kupewa huduma mbovu huku weupe wakihudumiwafirst class n.kKila mtu keshawahi kuiona Hii filamu ambayo ni kisa cha kweli kuhusu tukio hilo![]()
......
Mpaka mashabiki ni wakorofi sanaWachezaji wanakuwa wakorofi Sana. Kuna jamaa anaitwa buju ni mkorofi Sana
Ndio tatizo la ndondoMpaka mashabiki ni wakorofi sana
Miss u too Lee. Mzima?Nimekumisiiii
1967 - Jurgen Klopp anazaliwa.
Kocha wa zamani wa Borussia Dortmund na wa sasa wa Liverpool.
Samaki mtu NGUVA ndio niliwahi sikiaMermaid anaitwaje kwa Kiswahili?![]()
Ila huyu simuelewi ,ndio hao au anaigiza?Mermaid anaitwaje kwa Kiswahili?![]()
Ubarikiwe mkuu Mussolin5 kwa historia ubarikiwe mkuu Bitoz kwa picha kazi yenu ni njema sanaLeo Katika Historia:
Niwatakie wikiend njema.

Njema mkuuAsante tumekumic pia
Za huko uliko
Maamuzi ya faid, ambayo huku kwetu hayawezi kufanyika. Sana sana wanategemea kodi za Sigara ili kuendeshea serikali![]()
Ni kanchi fulani kutoka Asia kasikojulikana lakini kenye maamuzi ya akili![]()
Afya kwanza kodi baadaye....yaani unachukua kodi za sigara halafu baadaye tena unahangaika kutibu walgonjwa wa kansa
......
Mungu awasaidie watoto wa Afrika wajitambue na wachukue majukumu yao kikamlifu- Leo ni siku ya Mtoto wa Afrika.
Mungu waongoze waandaa sera nataratibu kuwawezesha watoto wa Afrika waweze kufikia malengo yao