BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Ubarikiwe sana Dingimtoto za uzmaAsubuh njema wana makapukuView attachment 524856
Ubarikiwe sana Dingimtoto za uzmaAsubuh njema wana makapukuView attachment 524856
Naona nyayo zake tuUnamuona mama D mwendo wa kulike tu
nimecheka sana shikamoo mama yangu kweli mukongo umemshika mama yangu pabaya aisee ni nini umempa lakini mama ake shunieYa BABA
Sikuelewiii na unaona mama nimpendae mam D anapiga doriaBinamu wa pedeshee king of all Bongo peremendez hajambo?
Baba D hivi majina yote ni yako jamaan naona sijui umeitwa mzee wa totoz sijui ila me nakusalimia tuTuwajibike vyema ....asanteni
Wengi wanaoelewana Mungu huwapa maisha,labda kwa mambo yasiyozuilika,Na pia walijAaliwa uhai mrefu coz kuna wanandoa wanakuwaga vizuri sana ila mmoja anwahi kufa
Shikamoo mama Dnimecheka sana shikamoo mama yangu kweli mukongo umemshika mama yangu pabaya aisee ni nini umempa lakini mama ake shunie
Mungu awajalie shunie Na Lee ndoa yenye miaka mingi zaidi ili mvunje record
Ameen mama yangu Mungu atusaidie
Mama D nipo mimiBaba D hivi majina yote ni yako jamaan naona sijui umeitwa mzee wa totoz sijui ila me nakusalimia tu
shemela wa mimi apaSalama kabisa shemeji, habari za hapo
Haya bana. Nilidhani (new) capital infusion, modernization and market expansion ni mambo ya kawaida tu. Hata hivyo nimekuelewa. Bila shaka unataka kumgawa kwingine.Mmmmh biashara hazichanganywiiii kiongoz
aiseeeeUmeamkaje mr peremende vs watoto wakali
Nimekumithiiiiiiiiiimmeakaje jamaan me nawasalimia tu kaka mndali nakuona za masiku mingiiii
Shemela za kuamka, habari za tangu juzimmeakaje jamaan me nawasalimia tu kaka mndali nakuona za masiku mingiiii
Mimi peremende pedeshee binamu obe ndo wa totoz ndo maana kasema vs ..lee vs obeaiseeee
mkisutwaa mnakuwa wapolee![]()
akaa ngoja waje umwagiwe povu
![]()
![]()
![]()
Samahani mkuu Shululu kuhusu maandiko kama ni YESU mwana wa MUNGU unamzungumzia NI VIZURI KUWA MAKINI KATIKA KUANDIKA ...YESU...YesuUliifuatilia story ya yesu?
ili kumtukuza MUNGU...wapo yesu wengine pia ni vema kutofautisha.