Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Shukrani kwa magazetiView attachment 524823Kwa udhamini mnono wa Aganza niwatakie siku njema
Shukrani kwa magazetiView attachment 524823Kwa udhamini mnono wa Aganza niwatakie siku njema
Unaona kujikosha huko? Eti Obe ndiyo mtu wa totoz. Utafikiri pedeshee mutu ya peremende na mutu ya totoz kuna tofauti kubwa! Actually, in my view, the former is worse especially for a married man!
♂️
♂️
♂️
♂️
♂️
♂️
♂️
♂️
♂️
♂️
♂️
Nipo niposasa kwa nini unatoka au kuna kitu kimekuweka busy
AsanteeTunashukuru
Waendaa wapiBaba D nimefurahi unaendelea vizuri tutaonana badae shunie anakupenda wewe tu
Nimekupata vyemaUnazungumzia DaVinci Code ama? Inabidi kuwa mwangalifu na haya mambo mpendwa kwa sababu program zingine ni propaganda za watu na zimelengwa kutimiza malengo maalum yaliyokusudiwa na sponsors. Always akili za kuambiwa changanya na zako.
Discovery na History channel kwa kawaida hawakupi conclusion. Wanaripoti tu "facts" kulingana na utafiti wao halafu wanakuacha mwenyewe ufikie conclusion unayotaka. Hawana propaganda za wazi kama hao jamaa uliowataja hapo juu.
London Emirates stadiumJangwani au?
Hamna mengine shemela wangushemela ebu endelea kunipa mengine ya jana
Uzuri wa msukuma huwa hakati kona wa kukopesha, yeye ananyoosha moja kwa moja na cash juumsukuma umemaliza